Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
chama chenye mrengo wa kiislam, ennahdha kilipata asilimia 40 ya kura zilizopigwa.
the islamist party ennahdha gained 40 per cent of the votes.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwanaharakati wa mrengo wa kushoto ben marmara alitwiti mfululizo wakati wote wa maandamano:
leftist activist ben marmara tweeted a series of updates throughout the protest:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hisia zinazaidi kukua na baadhi ya wale wenye mrengo wa kulia wakiahidi hata kulipiza kisasi.
emotions are inflamed with some rightwingers even threatening to avenge the killing.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hii si mara ya kwanza vyama vya siasa vya mrengo wa kushoto kukabiliwa na madai ya kudumaza tunu zake za kimaendeleo.
this is not the first time political parties from the left faced accusations of letting down their own "progressive" values.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
chama chenye mrengo wa kiislam ennahdha kilishinda kwa asilimia 41 ya kura zilizopigwa, na kujinyakulia viti 89 kati ya viti 217 vya bunge la uwakilishi.
the islamist party ennahdha won 41 per cent of the votes, and gained 89 out of 217 seats at the constituent assembly.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
jumuia ya watu wanaoishi nje ya nchi mara nyingi hutakiwa kupigia kura vyama vya mrengo wa kulia, pamoja na kuwa watu hawa hawaishi nchini crotia na wala kutozwa kodi.
the diaspora is often called out for favoring right-wing political parties, while not living and paying taxes in croatia.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
katika moja ya tovuti za uandishi wa kiraia suala la kumtunuku ukazi wa kudumu kocha ambaye wakati fulani aliitosa zambia na kwenda zake angola, kunaonekana kuwa na mrengo wa kisiasa zaidi.
on one citizen media website the issue of granting permanent residency to a coach who once deserted zambia for neighbouring angola, has assumed political overtones.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hali hii imeongezeka kadri maandamano hayo yanavyozidi kutoa wito wa mfumo wazi wa uteuzi wa mgombea wa nafasi ya mtendaji mkuu wa jiji hilo, dai ambalo linapingana na matakwa ya bara ya kuwa na kamati inayohodhiwa na watu wenye mrengo wa beijing.
this trend has only increased with the recent protests calling for an open nomination system of candidates for the city's chief executive, which goes against the mainland's wish for a largely pro-beijing nominating committee.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mrengo wa kulia wa shirikisho la mageuzi ya mfumo wa uhamiaji marekani (federation for american immigration reform (fair)) umetangaza kupinga utolewaji wa tps kwa raia wa nchi ya haiti.
the right wing federation for american immigration reform (fair) has announced opposition to granting tps for haiti.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
baadhi ya vyombo vya habari, zikiwemo blogu maarufu za mrengo wa kulia, zimediriki hata kusambaza maneno kuwa wanablogu wote ni wapagani ambao “wamekuwa wakipotosha imani” ya waumini wa dini nchini bangladesh.
some media outlets, including prominent right-wing blogs, have even propagated the idea that all bloggers are atheists who “hurt the feelings” of religious bangladeshis.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ni jioni, wageni wanne wanaoingia katika hoteli ya the seamount katika mji mkuu wa gambia " banjul hakuna hata mmoja wao anayejua wengine watatu wa kwanza kuingia ni 609 karanja kimani, profesa katika taasisi ya maendeleo katika chuo kikuu cha nairobi, kenya. ameweka chumba kwenye ghorofa ya nne, upande wa mashariki. ngobile melusi, karibu 70, mwenzake na raia wa zimbabwe wa pili kuingia na anatengewa chumba kwenye ghorofa ya tano ya mrengo wa kusini. tatu kwa saa ni kama 50, chineke chi
it is evening, four strangcrs check in at the seamount hotel in gambia's capital" banjul none of them knows the other three first to check in is about 609 karanja kimani, a professor in the institute of development at the university of nairobi, kenya. he's assigned a room on the fourth floor, east wing. ngobile melusi, about 70, a comrade and a citizen of zimbabweis second to check in and is allocated a room on the fifth floor of the south wing. third to clock in is about 50, chineke chi
Última actualización: 2024-02-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible