您搜索了: mrengo (斯瓦希里语 - 英语)

计算机翻译

尝试学会如何从人工翻译例句找到译文。

Swahili

English

信息

Swahili

mrengo

English

 

从: 机器翻译
建议更好的译文
质量:

人工翻译

来自专业的译者、企业、网页和免费的翻译库。

添加一条翻译

斯瓦希里语

英语

信息

斯瓦希里语

chama chenye mrengo wa kiislam, ennahdha kilipata asilimia 40 ya kura zilizopigwa.

英语

the islamist party ennahdha gained 40 per cent of the votes.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mwanaharakati wa mrengo wa kushoto ben marmara alitwiti mfululizo wakati wote wa maandamano:

英语

leftist activist ben marmara tweeted a series of updates throughout the protest:

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hisia zinazaidi kukua na baadhi ya wale wenye mrengo wa kulia wakiahidi hata kulipiza kisasi.

英语

emotions are inflamed with some rightwingers even threatening to avenge the killing.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hii si mara ya kwanza vyama vya siasa vya mrengo wa kushoto kukabiliwa na madai ya kudumaza tunu zake za kimaendeleo.

英语

this is not the first time political parties from the left faced accusations of letting down their own "progressive" values.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

斯瓦希里语

chama chenye mrengo wa kiislam ennahdha kilishinda kwa asilimia 41 ya kura zilizopigwa, na kujinyakulia viti 89 kati ya viti 217 vya bunge la uwakilishi.

英语

the islamist party ennahdha won 41 per cent of the votes, and gained 89 out of 217 seats at the constituent assembly.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

jumuia ya watu wanaoishi nje ya nchi mara nyingi hutakiwa kupigia kura vyama vya mrengo wa kulia, pamoja na kuwa watu hawa hawaishi nchini crotia na wala kutozwa kodi.

英语

the diaspora is often called out for favoring right-wing political parties, while not living and paying taxes in croatia.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

katika moja ya tovuti za uandishi wa kiraia suala la kumtunuku ukazi wa kudumu kocha ambaye wakati fulani aliitosa zambia na kwenda zake angola, kunaonekana kuwa na mrengo wa kisiasa zaidi.

英语

on one citizen media website the issue of granting permanent residency to a coach who once deserted zambia for neighbouring angola, has assumed political overtones.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

hali hii imeongezeka kadri maandamano hayo yanavyozidi kutoa wito wa mfumo wazi wa uteuzi wa mgombea wa nafasi ya mtendaji mkuu wa jiji hilo, dai ambalo linapingana na matakwa ya bara ya kuwa na kamati inayohodhiwa na watu wenye mrengo wa beijing.

英语

this trend has only increased with the recent protests calling for an open nomination system of candidates for the city's chief executive, which goes against the mainland's wish for a largely pro-beijing nominating committee.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

mrengo wa kulia wa shirikisho la mageuzi ya mfumo wa uhamiaji marekani (federation for american immigration reform (fair)) umetangaza kupinga utolewaji wa tps kwa raia wa nchi ya haiti.

英语

the right wing federation for american immigration reform (fair) has announced opposition to granting tps for haiti.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

baadhi ya vyombo vya habari, zikiwemo blogu maarufu za mrengo wa kulia, zimediriki hata kusambaza maneno kuwa wanablogu wote ni wapagani ambao “wamekuwa wakipotosha imani” ya waumini wa dini nchini bangladesh.

英语

some media outlets, including prominent right-wing blogs, have even propagated the idea that all bloggers are atheists who “hurt the feelings” of religious bangladeshis.

最后更新: 2016-02-24
使用频率: 1
质量:

斯瓦希里语

​ni jioni, wageni wanne wanaoingia katika hoteli ya the seamount katika mji mkuu wa gambia " banjul hakuna hata mmoja wao anayejua wengine watatu wa kwanza kuingia ni 609 karanja kimani, profesa katika taasisi ya maendeleo katika chuo kikuu cha nairobi, kenya. ameweka chumba kwenye ghorofa ya nne, upande wa mashariki. ngobile melusi, karibu 70, mwenzake na raia wa zimbabwe wa pili kuingia na anatengewa chumba kwenye ghorofa ya tano ya mrengo wa kusini. tatu kwa saa ni kama 50, chineke chi

英语

​it is evening, four strangcrs check in at the seamount hotel in gambia's capital" banjul none of them knows the other three first to check in is about 609 karanja kimani, a professor in the institute of development at the university of nairobi, kenya. he's assigned a room on the fourth floor, east wing. ngobile melusi, about 70, a comrade and a citizen of zimbabweis second to check in and is allocated a room on the fifth floor of the south wing. third to clock in is about 50, chineke chi

最后更新: 2024-02-03
使用频率: 1
质量:

警告:包含不可见的HTML格式

获取更好的翻译,从
7,754,434,618 条人工翻译中汲取

用户现在正在寻求帮助:



Cookie 讓我們提供服務。利用此服務即表示你同意我們使用Cookie。 更多資訊。 確認