Usted buscó: mwanahabari (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

mwanahabari

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

mwanahabari andrew hammond anataarifu:

Inglés

journalist andrew hammond reports:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari wa kiraia akielezea uzoefu wake kwa wanablogu

Inglés

a citizen journalist shares his experience with bloggers

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

colombia: mwanahabari raia atishwa kuhusu video iliyoenea

Inglés

colombia: citizen journalist threatened over viral video · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari wa sauti za dunia mtandaoni victor salama anasimulia zaidi.

Inglés

global voices online's victor salama has more.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari huyu amekuwa akiweka habari mpya zinazohusiana na kifo cha mutharika kwenye blogu yake.

Inglés

she has been updating her blog with news related to mutharika's death.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na blogu ya mwisho ni ile ya scarlett lion: yeye ni mwanahabari aliyeko nchini liberia.

Inglés

last but not least is scarlett lion: she is a jounalist based in liberia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ignacio de los reyes, mwanahabari wa bbc argentina na southern cone, alitwiti mnamo desemba 10:

Inglés

ignacio de los reyes, the bbc's argentina and southern cone correspondent, tweeted on december 10:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari wa israeli joseph dana alikuwa betlehemu kuangalia mwanga wa miti ya krismasi na alipakia mtandaoni picha ifuatayo:

Inglés

israeli journalist joseph dana was in bethlehem to see the lighting of the christmas tree and shares this photograph:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanablogu ambaye pia ni mwanahabari masih alinejad anaandika kuhusu sababu zilizoifanya idhaa ya taifa ya televisheni kutotangaza ujumbe wa obama.

Inglés

blogger and journalist masih alinejad writes about why iranian national tv did not broadcast obama’s message.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari-mwanablogu mkongwe anashtakiwa katika kesi ya kudhalilisha na mwanasiasa anayejulikana kwa kutetea uhuru wa habari nchini malaysia.

Inglés

a veteran journalist-blogger is being sued for libel by a politician who is known for espousing press freedom in malaysia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

baada ya kufanya kozi fupi ya uingizaji takwimu, mwanahabari, pauline kalumikiza anaandika juu ya umuhimu wa ofisi kama hizi kutumia teknolojia ya dijitali.

Inglés

having attended a short course on data entry, journalist pauline kalumikiza writes on the importance of such offices going digital:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari wa gazeti la daily star na mwanablogu wa huffington post patrick galey anamnukuu mwanaume mmoja wa lebanoni ambaye amepoteza marafiki 10 waliokuwemo kwenye ndege hiyo:

Inglés

daily star reporter and huffington post blogger patrick galey quotes a lebanese man who lost 10 friends on board the flight:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

blogu ya west africa wins always: hii ni blogu ya mwanablogu pauline, mwanahabari ambaye amekuwa akiishi nchini ivory coast tangu mwaka 2003.

Inglés

west africa wins always: this is a blog by pauline, a jounalist who has been living in ivory coast since 2003.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kuhusu tatizo la mafuta, mwanahabari richard chirombo alijaribu kuliweka tatizo katika muktadha wa kihistoria na kuonyesha kuwa shehena ya malawi ilikwama huko msumbiji kutokana na kupungua kwa matumizi ya bandari ya beira.

Inglés

on fuel crisis, journalist richard chirombo tried to put the situation into historical perspective by pointing out that malawi cargo was stuck in mozambique due to a decline in the use of the beira port.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari bladimir sanchez ameshapata vitisho kwa maisha yake kwa kutengeneza video inayoonyesha kufukuzwa kwa lazima kwa wakulima na wavuvi wanaopinga kutengenezwa kwa bwawa la kuzalisha umeme katika eneo la huila, nchini colombia mnamo tarehe 14 na 15 februari.

Inglés

citizen journalist bladimir sánchez has already received threats for making a video showing the forced evictions of farmers and fishermen protesting the construction of a hydroelectric dam in the department of huila, colombia on february 14 and 15.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari diego osorno, ambaye amejikita zaidi katika kuandikia migogoro ya jamii, aliandika habari kwenye blogu ya nuesta aparente rendición kuhusu mgogoro wa normalistas huko normalistas huko guerrero , hasa wa shule ya ayotzinapa.

Inglés

journalist diego osorno, who specializes in social conflicts, wrote a story for the blog nuesta aparente rendición about the normalistas conflict in guerrero , specifically the school of ayotzinapa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

alejandro bascur, mwanahabari na mchezaji wa mchezo wa golfu, (@alejandrobascur) alikuwa na furaha mara baada ya kipindi cha televisheni kuoneshwa katika televisheni ya taifa:

Inglés

journalist and golfer alejandro bascur (@alejandrobascur) was happy after a tv program aired on national television:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

aloysius agendia, mwanahabari ambaye pia ni mseminari wa zamani katika makala aliyoipa kichwa cha ziara ya papa benedikti wa xvi afrika: zaidi ya kauli za kiroho inaonekana kwamba angependa kanisa lipinge vitendo vya dola na vya wanasiasa ambavyo vinaharibu maslahi ya umma badala ya kuvivika majoho ya kidiplomasia:

Inglés

aloysius agendia, a journalist and ex-seminarian in a post entitled pope benedict xvi visit to africa : going beyond spiritual rhetoric seems to suggest that the church should denounce acts by states and politicains that harm the people's interest instead of being clothed in diplomatic robes:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,787,717,212 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo