Usted buscó: wazara ya jinsia na wazee na watoto (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

wazara ya jinsia na wazee na watoto

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto

Inglés

ministry for health, community development,gender the elderly and children

Última actualización: 2021-08-26
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

basi, wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana, wakawapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha

Inglés

and when they were assembled with the elders, and had taken counsel, they gave large money unto the soldiers,

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa upande wetu, gabriela, chama cha wanawake gabriela na salinlahi vipo tayari kuwa sehemu ya mchakato wa kushauriana na kutoa ushauri kwa kutumia uzoefu na ujuzi wetu katika elimu ya jinsia na masuala ya kujamiiana kwa wazazi na watoto.

Inglés

in our part, gabriela, gabriela women’s party and salinlahi are willing to become part of the consultation process and share our extensive experience in gender and sexuality education with children and parents.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

saudia arabia inaelewa changamoto iliyonayo tayari na imeamua kushughulikia hali hiyo kwa kadiri inavyoweza katika omra na hija, inashauri kuwa mahujaji wajawazito, wazee na watoto waepuke kuhiji mwaka huu, ninauheshimu uamuzi huu.

Inglés

saudi arabia understands the challenge it is facing already and decided to deal with the situation as much as it can in the omra and pilgrimage , it recommends that pregenant women , elderly and kids to avoid pilgrimage this year , i really respect this move.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

lakini mjane aliye na watoto au wajukuu, hao wanapaswa kujifunza kutimiza wajibu wao wa kidini kwa jamaa zao wenyewe na hivyo kuwalipa wazazi wao na wazee wao, kwani hilo ni jambo la kupendeza mbele ya mungu.

Inglés

but if any widow have children or nephews, let them learn first to shew piety at home, and to requite their parents: for that is good and acceptable before god.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

umlilo (ambaye hapo awali aliandikwa kwenye tovuti ya africa is a country) anaendelea kupunguza mipaka ya kijamii, akivunja vunja mila zinazohusu masuala ya jinsia na mapenzi kwa kutumia albamu yake ya hivi karibuni iliyotoka mwezi julai 2014.

Inglés

umlilo (previously profiled on africa is a country here) continues to push societal boundaries, crushing the norms of sexuality and gender roles with ‘magic man’, a track from his latest album, which will be released in july 2014.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kampeni inayoratibiwa na helpage india kukumbatia- kunasaidia kuunganisha vizazi inawahamasisha vijana wa kihindi kufanya urafiki na wazee na kutuma picha zao zinazoonyesha wakiwakumbatia wazee kwa lengo la kujenga "muunganiko wa vizazi na vizazi na kuongeza uelewa wa vijana kwa hali wanazokabiliana nazo wazee".

Inglés

helpage india's hug - help unite generations encourages india's youth to befriend an elder and share a hug with the hope of building "inter-generational bonding and to increase the empathy of young adults towards elders".

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

tafadhari rejea katika kichwa cha habari tajwa hapo juu chajieleza wazi wazi.nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu cha dodoma (udom) katika shahada ya kwanza ya elimu ya awali.mbali na shahada yangu ya kwanza ya elimu ya awali,pia nimeweza kujifunza vizuri na kuhusu mambo ya education career guidance and counseling, psychology, children's rights,ukatili wa kijinsia na vitendo viovu vinavyomnyima mwanadamu haki yake,vile ninayo maarifa kuhusiana na mambo ya jinsia na mengine mengi.nasikia shauku

Inglés

please refer to the above article that makes it clear. i have completed my studies at the university of dodoma (udom) in a bachelor's degree in pre-school. in addition to my undergraduate degree, i have also been able to learn well and about education career guidance and counseling, psychology, children's rights, sexual violence and evil practices that deny man his rights, and i have knowledge about gender and more. i'm feeling passionate

Última actualización: 2024-04-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,790,301,609 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo