Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
ingawa bado kuna maswali mengine yanayohitaji kujibiwa, tunatumai kuwa ukaguzi huu utasaidia katika kuelewa na kuondoa ugonjwa huu unaotisha.
although many questions still require answers, we hope that this review helps in the understanding and eradication of the threatening disease.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kama tunahitaji kweli kujali vyeti vya uchunguzi wa afya, basi maswali yanayofuata yanayohitaji majibu: tutaishia wapi?
if indeed we should be caring about medical reports, then the next questions to deal with would be: where are we going to draw the line?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
huku lengo lake likiwa ni "kuonyesha ukweli kuhusu shule za umma", isadora anaweka picha zinazoonyesha maeneo yanayohitaji kufanyiwa ukarabati katika shule yake pamoja na kutoa taarifa kuhusu matatizo mengine mengi ya jumla.
aiming to "show the truth about public schools", isadora shares photos that show the repairs needed in her own school and reports on other general problems.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kwa hivyo kuna, masuala matatu makubwa yanayohitaji hatua zilizo bayana, zinazohitaji kujitoa na za haraka. 1) ukosefu wa ajira; 2) ufisadi; na 3) madaraka makubwa ya rais na wakubwa wa serikalini.
there are, however, 3 pressing issues that require a clear, committed and immediate response: (1) unemployment; (2) corruption; and (3) excessive presidential and executive power.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: