Usted buscó: wanaume (Suajili - Japonés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Japanese

Información

Swahili

wanaume

Japanese

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Japonés

Información

Suajili

ati amekhiari watoto wa kike kuliko wanaume?

Japonés

かれは息子よりも,娘を選ばれるとするのか。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume elfu tano.

Japonés

パンを食べた者は男五千人であった。

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

je! katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?

Japonés

あなたがたは創造された者の中男だけに近付き,

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

je! nyinyi mnao wana wanaume na yeye ndio awe na wanawake?

Japonés

あなたがたには男子があり,かれには女子があるというのか。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Japonés

食べた者は、女と子供とを除いて四千人であった。

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wengi wao waliamini na pia wanawake wa kigiriki wa tabaka la juu na wanaume pia.

Japonés

そういうわけで、彼らのうちの多くの者が信者になった。また、ギリシヤの貴婦人や男子で信じた者も、少なくなかった。

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Japonés

食べた者は、女と子供とを除いて、おおよそ五千人であった。

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

waambie waumini wanaume wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao. hili ni takaso bora kwao.

Japonés

男の信者たちに言ってやるがいい。「(自分の係累以外の婦人に対しては)かれらの視線を低くし,貞潔を守れ。」それはかれらのために一段と清廉である。アッラーはかれらの行うことを熟知なされる。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

au amejichukulia watoto wanawake katika vile alivyo viumba, na akakuteulieni nyinyi watoto wanaume?

Japonés

それともあなたがたはかれが創られたものの中から(天使を)娘として選び,あなたがたは男児だけ授かるとでも言うのか。(いやそうではない。)

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

au huwachanganya wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye tasa. hakika yeye ni mjuzi mwenye uweza.

Japonés

また男と女を混ぜ(て授け),また御望みの者を不妊になされる。本当にかれは全知にして強力であられる。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wanaume wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. huenda hao wakawa bora kuliko wao.

Japonés

信仰する者よ,或る者たちに外の者たちを嘲笑させてはならない。それら(嘲笑された方)がかれらよりも優れているかも知れない。女たちにも外の女たちを(嘲笑させては)ならない。その女たちがかの女たちよりも,優れているかも知れない。そして互いに中傷してはならない。また綽名で,罵り合ってはならない。信仰に入った後は,悪を暗示するような呼名はよくない。それでも止めない者は不義の徒である。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

isipo kuwa wale walio kuwa wanyonge miongoni mwa wanaume na wanawake na watoto wasio na uweza wa hila ya kuongoza njia ya kuhama.

Japonés

只(本当に)弱かった男女と子供たちは別である。かれらは(自ら避難する)手段を見い出すことも出来ず,また道へも導かれなかった。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio badala ya wanawake? hakika nyinyi ni watu mnao fanya ujinga kabisa!

Japonés

あなたがたは,情欲をもって女たちを差し置いて男のもとに行くのですか。いや,あなたがたは,本当に無知の民です。」

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hakika walio wafitini waumini wanaume na waumini wanawake, kisha hawakutubu, basi watapata adhabu ya jahannamu na watapata adhabu ya kuungua.

Japonés

本当に信仰する男と女を迫害して,それから悔悟しなかった者には地獄の懲罰があり,またかれらには炎火の懲罰があろう。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni mtume wa mwenyezi mungu na mwisho wa manabii, na mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Japonés

ムハンマドは,あなたがた男たちの誰の父親でもない。しかし,アッラーの使徒であり,また預言者たちの封緘である。本当にアッラーは全知であられる。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa nini mlipo sikia khabari hii, wanaume waumini na wanawake waumini hawakuwadhania wenzao mema, na kusema: huu ni uzushi dhaahiri?

Japonés

あなたがたはそれを聞いた時,信者の男も信者の女も,自分自身で何故好意ある考えをしなかったのか。そして,「これは明らかに中傷である。」と何故言わなかったのか。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hakika firauni alitakabari katika nchi, na akawagawa wananchi makundi mbali mbali. akalidhoofisha taifa moja miongoni mwao, akiwachinja watoto wao wanaume na akiwaacha watoto wao wanawake.

Japonés

本当にフィルアウンは,この国において専横を極め,その民を諸党派に分け,かれらの中の一派を押さえて男児を殺し,女児は生かして置いた。本当にかれは非道であった。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

basi alipo waletea haki inayo toka kwetu, walisema: waueni watoto wanaume wa wale walio muamini na wawacheni hai wanawake wao. na haviwi vitimbi vya makafiri ila katika upotovu.

Japonés

かれがわが許から真理を(有?)したのに,かれらは,「かれと共に信仰している者の男児を殺し,女児を生かしておきなさい。」と言った。だが不信者の策謀は,失敗に柊る外はない。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

basi jua ya kwamba hapana mungu ila mwenyezi mungu, na omba maghufira kwa dhambi zako na za waumini wanaume na waumini wanawake. na mwenyezi mungu anajua mahali penu pa kwenda na kurudi, na mahali penu pa kukaa.

Japonés

だから知れ。アッラーの外に神はないことを。そしてあなたの罪過に対し御赦しを請え。また信仰する男たち,信仰する女たちのためにも御赦しを請え。本当にアッラーは,あなたがたの働き振りも,休み方も(凡て)知っておられる。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na waumini wanaume na waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika sala, na hutoa zaka, na humt'ii mwenyezi mungu na mtume wake.

Japonés

男の信者も女の信者も,互いに仲間である。かれらは正しいことをすすめ,邪悪を禁じる。また礼拝の務めを守り,定めの喜捨をなし,アッラーとその使徒に従う。これらの者に,アッラーは慈悲を与える。本当にアッラーは偉力ならびなく英明であられる。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,762,982,328 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo