Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
tulipita kando yake polepole tukafika mahali paitwapo "bandari nzuri", karibu na mji wa lasea.
et vix iuxta navigantes venimus in locum quendam qui vocatur boni portus cui iuxta erat civitas thalass
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
tulipanda meli ya adiramito iliyokuwa inasafiri na kupitia bandari kadhaa za mkoa wa asia, tukaanza safari. aristarko, mwenyeji wa makedonia kutoka thesalonika, alikuwa pamoja nasi.
ascendentes autem navem hadrumetinam incipientem navigare circa asiae loca sustulimus perseverante nobiscum aristarcho macedone thessalonicens
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
toka huko tuling'oa nanga, tukazunguka na kufika regio. baada ya siku moja, upepo ulianza kuvuma kutoka kusini, na baada ya siku mbili tulifika bandari ya potioli.
inde circumlegentes devenimus regium et post unum diem flante austro secunda die venimus puteolo
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa kuwa bandari hiyo haikuwa mahali pazuri pa kukaa wakati wa baridi, wengi walipendelea kuendelea na safari, ikiwezekana mpaka foinike. foinike ni bandari ya krete inayoelekea kusini-magharibi na kaskazini-magharibi; na huko wangeweza kukaa wakati wa baridi.
et cum aptus portus non esset ad hiemandum plurimi statuerunt consilium navigare inde si quo modo possent devenientes phoenice hiemare portum cretae respicientem ad africum et ad choru
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad: