Usted buscó: imekwisha (Suajili - Latín)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Latin

Información

Swahili

imekwisha

Latin

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Latín

Información

Suajili

sasa utukufu mkuu zaidi umechukua nafasi ya ule utukufu uliokuja hapo awali, ambao fahari yake imekwisha toweka.

Latín

nam nec glorificatum est quod claruit in hac parte propter excellentem gloria

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lakini sasa, njia ya mungu ya kuwakubali watu kuwa waadilifu imekwisha dhihirishwa, tena bila kutegemea sheria. sheria na manabii hushuhudia jambo hili.

Latín

nunc autem sine lege iustitia dei manifestata est testificata a lege et propheti

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

muda mrefu ulikuwa umepita, na hata siku ya kufunga ilikuwa imekwisha pita. sasa ilikuwa hatari sana kusafiri kwa meli. basi, paulo aliwapa onyo:

Latín

multo autem tempore peracto et cum iam non esset tuta navigatio eo quod et ieiunium iam praeterisset consolabatur paulu

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

msifadhaike upesi moyoni, na wala msitiwe wasiwasi kwa sababu ya madai kwamba siku ya bwana imekwisha fika. labda inadhaniwa kwamba jambo hili limetokana na uaguzi fulani, mahubiri au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu.

Latín

ut non cito moveamini a sensu neque terreamini neque per spiritum neque per sermonem neque per epistulam tamquam per nos quasi instet dies domin

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mnapaswa, lakini kuendelea kuwa imara na thabiti katika imani hiyo, na msikubali kusukumwa mbali na tumaini lile mlilopata wakati mlipoisikia habari njema. mimi paulo nimekuwa mtumishi wa hiyo habari njema ambayo imekwisha hubiriwa kila kiumbe duniani.

Latín

si tamen permanetis in fide fundati et stabiles et inmobiles ab spe evangelii quod audistis quod praedicatum est in universa creatura quae sub caelo est cuius factus sum ego paulus ministe

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

basi, sisi tunaoamini tunapata pumziko hilo aliloahidi mungu. kama alivyosema: "nilikasirika, nikaapa: hawataingia huko ambako ningewapa pumziko." mungu alisema hayo ingawa kazi yake ilikuwa imekwisha malizika tangu alipoumba ulimwengu.

Latín

ingrediemur enim in requiem qui credidimus quemadmodum dixit sicut iuravi in ira mea si introibunt in requiem meam et quidem operibus ab institutione mundi facti

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,738,125,007 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo