Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
nayo saburi huleta uthabiti, na uthabiti huleta tumaini.
patientia autem probationem probatio vero spe
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maana sisi tunashirikiana na kristo ikiwa tutazingatia kwa uthabiti tumaini tulilokuwa nalo mwanzoni.
participes enim christi effecti sumus si tamen initium substantiae usque ad finem firmum retineamu
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
niombeeni nami pia ili niongeapo mungu anijalie cha kusema, niweze kuwajulisha watu fumbo la habari njema kwa uthabiti.
et pro me ut detur mihi sermo in apertione oris mei cum fiducia notum facere mysterium evangeli
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wapenzi wangu, kama dhamiri yetu haina lawama juu yetu, basi, twaweza kuwa na uthabiti mbele ya mungu,
carissimi si cor non reprehenderit nos fiduciam habemus ad deu
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini kristo ni mwaminifu kama mwana mwenye mamlaka juu ya nyumba ya mungu. sisi ni nyumba yake kama tukizingatia uhodari wetu na uthabiti wetu katika kile tunachotumainia.
christus vero tamquam filius in domo sua quae domus sumus nos si fiduciam et gloriam spei usque ad finem firmam retineamu
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, tunapaswa kuzingatia kwa uthabiti imani tunayoiungama. maana tunaye kuhani mkuu aliyeingia mpaka kwa mungu mwenyewe--yesu, mwana wa mungu.
habentes ergo pontificem magnum qui penetraverit caelos iesum filium dei teneamus confessione
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini mkisha teseka muda mfupi, mungu aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni muushiriki utukufu wake wa milele katika kuungana na kristo, yeye mwenyewe atawakamilisheni na kuwapeni uthabiti, nguvu na msingi imara.
deus autem omnis gratiae qui vocavit nos in aeternam suam gloriam in christo iesu modicum passos ipse perficiet confirmabit solidabi
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"mimi ni myahudi, mzaliwa wa tarso katika kilikia. lakini nililelewa papa hapa mjini yerusalemu chini ya mkufunzi gamalieli. nilifundishwa kufuata kwa uthabiti sheria ya wazee wetu. nilijitolea kwa moyo wote kwa mungu kama ninyi wenyewe mlivyo hivi leo.
et dixit ego sum vir iudaeus natus tarso ciliciae nutritus autem in ista civitate secus pedes gamalihel eruditus iuxta veritatem paternae legis aemulator legis sicut et vos omnes estis hodi
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible