Usted buscó: gizani (Suajili - Latín)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Latin

Información

Swahili

gizani

Latin

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Latín

Información

Suajili

na mwanga huo huangaza gizani, nalo giza halikuweza kuushinda.

Latín

et lux in tenebris lucet et tenebrae eam non conprehenderun

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mimi ni mwanga, nami nimekuja ulimwenguni ili wote wanaoniamini wasibaki gizani.

Latín

ego lux in mundum veni ut omnis qui credit in me in tenebris non manea

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wewe unajiona kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga kwa wale walio gizani;

Latín

confidis te ipsum ducem esse caecorum lumen eorum qui in tenebris sun

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lakini ninyi ndugu, hamko gizani, na siku hiyo haipaswi kuwajieni ghafla kama vile mwizi.

Latín

vos autem fratres non estis in tenebris ut vos dies ille tamquam fur conprehenda

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

yeyote asemaye kwamba yumo katika mwanga, lakini anamchukia ndugu yake, mtu huyo bado yumo gizani.

Latín

qui dicit se in luce esse et fratrem suum odit in tenebris est usque adhu

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tukisema kwamba tuna umoja naye, na papo hapo twaishi gizani, tutakuwa tumesema uongo kwa maneno na matendo.

Latín

si dixerimus quoniam societatem habemus cum eo et in tenebris ambulamus mentimur et non facimus veritate

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na kuhusu huyu mtumishi asiye na faida, mtupeni nje gizani! huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.

Latín

et inutilem servum eicite in tenebras exteriores illic erit fletus et stridor dentiu

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lakini wale ambao wangalipaswa kuwa katika ufalme huo watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno."

Latín

filii autem regni eicientur in tenebras exteriores ibi erit fletus et stridor dentiu

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

zamani ninyi mlikuwa gizani, lakini sasa ninyi mko katika mwanga kwa kuungana na bwana. ishini kama watoto wa mwanga:

Latín

eratis enim aliquando tenebrae nunc autem lux in domino ut filii lucis ambulat

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na, malaika ambao hawakuridhika na cheo chao, wakayaacha makao yao ya asili, mungu amewafunga gizani kwa minyororo ya milele wahukumiwe siku ile kuu.

Latín

angelos vero qui non servaverunt suum principatum sed dereliquerunt suum domicilium in iudicium magni diei vinculis aeternis sub caligine reservavi

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa hiyo, kila mliyosema gizani, watu watayasikia katika mwanga, na kila mliyonong'ona faraghani milango imefungwa, yatatangazwa juu ya nyumba.

Latín

quoniam quae in tenebris dixistis in lumine dicentur et quod in aurem locuti estis in cubiculis praedicabitur in tecti

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

yesu akawaambia, "mwanga bado uko nanyi kwa muda mfupi. tembeeni mngali mnao huo mwanga ili giza lisiwapate; maana atembeaye gizani hajui aendako.

Latín

dixit ergo eis iesus adhuc modicum lumen in vobis est ambulate dum lucem habetis ut non tenebrae vos conprehendant et qui ambulat in tenebris nescit quo vada

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, "mimi ndimi mwanga wa ulimwengu. anayenifuata mimi hatembei kamwe gizani, bali atakuwa na mwanga wa uzima."

Latín

iterum ergo locutus est eis iesus dicens ego sum lux mundi qui sequitur me non ambulabit in tenebris sed habebit lucem vita

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

utayafumbua macho yao na kuwawezesha watoke gizani na kuingia katika mwanga; watoke katika utawala wa shetani, wamgeukie mungu; ili kwa kuamini, wapate kusamehewa dhambi na kuchukua nafasi yao kati ya wale ambao wamepata kuwa watu wa mungu.

Latín

aperire oculos eorum ut convertantur a tenebris ad lucem et de potestate satanae ad deum ut accipiant remissionem peccatorum et sortem inter sanctos per fidem quae est in m

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,794,498,721 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo