Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kutokana na ukamilifu wake sisi tumepokea neema mfululizo.
ir iš jo pilnatvės mes visi gavome malonę po malonės.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maana, ndani yake kristo katika ubinadamu wake, umo ukamilifu wote wa mungu,
jame kūniškai gyvena visa dievybės pilnatvė,
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kanisa ni mwili wa kristo, na ukamilifu wake yeye anayekamilisha vitu vyote kila mahali.
kuri yra jo kūnas, pilnatvė to, kuris visa visame pripildo.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maana mungu alikuwa ameazimia mpango ulio bora zaidi kwa ajili yetu; yaani wao wangeufikia ukamilifu wakiwa pamoja nasi.
nes dievas geresnius dalykus buvo numatęs mums, kad jie ne be mūsų pasiektų tobulumą.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
nami nimefanywa kuwa mtumishi wa kanisa kufuatana na mpango wake mungu ambao alinikabidhi kwa faida yenu. mpango wenyewe ni kuutangaza kwa ukamilifu ujumbe wake,
jos tarnu aš tapau dievo patvarkymu, kuris duotas man dėl jūsų, kad išpildyčiau dievo žodį,
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mkavaa utu mpya. huu unaendelea kurekebishwa na mungu, muumba wake, kadiri ya mfano wake, ili mpate kumjua mungu kwa ukamilifu.
ir apsivilkę nauju, kuris atnaujinamas pažinimu pagal atvaizdą to, kuris jį sukūrė.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maana nawaambieni, haya maneno ya maandiko matakatifu: aliwekwa kundi moja na wahalifu, ni lazima yatimie. naam, yale yanayonihusu yanafikia ukamilifu wake."
sakau jums, manyje privalo išsipildyti, kas parašyta: ‘jis buvo priskaitytas prie piktadarių’; tai, kas man nustatyta, jau eina į pabaigą”.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kwa sasa, ndugu, kwaherini! muwe na ukamilifu, shikeni mashauri yangu, muwe na nia moja; kaeni kwa amani. naye mungu wa mapendo na amani atakuwa pamoja nanyi.
galiausiai, broliai, likite sveiki. būkite tobuli, džiaukitės paguoda, būkite vienos minties, gyvenkite taikiai, ir meilės bei ramybės dievas bus su jumis.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad: