Usted buscó: matakwa (Suajili - Serbio)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Serbian

Información

Swahili

matakwa

Serbian

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Serbio

Información

Suajili

basi, pilato akaamua kwamba matakwa yao yatimizwe.

Serbio

i pilat presudi da bude kao što oni ištu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

watu wanaotii matakwa ya mwili hawawezi kumpendeza mungu.

Serbio

a koji su u telu ne mogu bogu ugoditi.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya mungu yaliyo ya haki.

Serbio

jer srdnja èoveèija ne èini pravde božije.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya bwana.

Serbio

toga radi ne budite nerazumni, nego poznajte šta je volja božija.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa njia ya sheria unajua matakwa ya mungu na unaweza kuchagua jambo jema;

Serbio

i poznaješ volju, i izbiraš šta je bolje, jer si nauèen od zakona;

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maana mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria.

Serbio

mislimo dakle da æe se èovek opravdati verom bez dela zakona.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

haya si mapinduzi ya kijeshi, haya ni matakwa ya taifa yanayohalisishwa kwa mbinu isiyo na utata wowote

Serbio

ovo nije udar, to je volja naroda koja se izražava na nekonvencionalan način

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hapo fahamu zao zitawarudia tena, wakaponyoka katika mtego wa ibilisi aliyewanasa na kuwafanya wayatii matakwa yake.

Serbio

i da se iskopaju iz zamke djavola, koji ih je ulovio žive za svoju volju.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwani nimeshuka kutoka mbinguni si kwa ajili ya kufanya matakwa yangu, ila kutimiza matakwa ya yule aliyenituma.

Serbio

jer sidjoh s neba ne da èinim volju svoju, nego volju oca koji me posla.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maana hakuna ujumbe wa kinabii unaotokana na matakwa ya binadamu, bali watu walinena ujumbe wa mungu wakiongozwa na roho mtakatifu.

Serbio

jer nikad proroštvo ne bi od èoveèije volje, nego nauèeni od svetog duha govoriše sveti božiji ljudi.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na matakwa ya yule aliyenituma ndiyo haya: nisimpoteze hata mmoja kati ya wale alionipa, ila niwafufue wote siku ya mwisho.

Serbio

a ovo je volja oca koji me posla da od onog što mi dade ništa ne izgubim, nego da ga vaskrsnem u poslednji dan.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

basi, kama ninafanya kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba si mimi ninayefanya hayo, bali ni ile dhambi iliyo ndani yangu.

Serbio

a kad èinim ono što neæu, veæ ja to ne èinim nego greh koji živi u meni.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mungu alifanya hivyo kusudi matakwa ya haki ya sheria yatekelezwe kikamilifu ndani yetu sisi ambao tunaishi, si kwa nguvu za kibinadamu, bali kwa nguvu ya roho.

Serbio

da se pravda zakona ispuni u nama koji ne živimo po telu nego po duhu;

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa hiyo, wale wanaoteseka kufuatana na matakwa ya mungu, wanapaswa, kwa matendo yao mema, kujiweka chini ya muumba wao ambaye ni wa kuaminika kabisa.

Serbio

zato i koji stradaju po volji božijoj neka mu kao vernom tvorcu predadu duše svoje u dobrim delima.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kuhusu kukubaliwa kuwa mwadilifu kwa kuitii sheria, mose aliandika hivi: "mtu yeyote anayetimiza matakwa ya sheria ataishi."

Serbio

jer mojsije piše za pravdu koja je od zakona: koji èovek tako èini živeæe u tom.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

napenda kujua tu kitu kimoja kutoka kwenu: je, mlipokea roho wa mungu kwa sababu ya kutimiza matakwa ya sheria ama kwa sababu ya kuisikia na kuiamini habari njema?

Serbio

ovo jedno hoæu od vas da doznam, ili duha primiste kroz dela zakona ili kroz èuvenje vere?

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wakati mashabiki wa morsi wakisema kwamba hatua ya kuondolewa kwa morsi madarakani ilikuwa ni mapinduzi ya kijeshi, kambi ya wapinzani wa morsi inasisitiza kuwa yale yalikuwa ni matakwa ya watu, yaliyoungwa mkono na jeshi imara la nchi hiyo lililorahisisha kumwondoa morsi.

Serbio

dok morsijeve pristalice kažu da je uklanjanje morsija sa vlasti bio vojni udar, anti-morsi kamp insistira da je to bila volja naroda, uz podršku moćnog vojnog vrha koji je omogućio svrgavanje s vlasti.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mathalan: watu wa mataifa mengine hawana sheria ya mose; lakini kila wanapotimiza matakwa ya sheria wakiongozwa na dhamiri zao, wao wenyewe wanakuwa kipimo cha sheria ingawa hawaijui sheria.

Serbio

jer kad neznabošci ne imajuæi zakon sami od sebe èine šta je po zakonu, oni zakon ne imajuæi sami su sebi zakon:

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya roho; na matakwa ya roho hupingana na tamaa za kidunia. mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka ninyi wenyewe.

Serbio

jer telo želi protiv duha, a duh protiv tela; a ovo se protivi jedno drugom, da ne èinite ono šta hoæete.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

je, ni nani kati ya hawa wawili aliyetimiza matakwa ya baba yake?" wakamjibu, "yule mtoto wa kwanza." basi, yesu akawaambia, "kweli nawaambieni, watoza ushuru na waasherati wataingia katika ufalme wa mungu kabla yenu.

Serbio

koji je od ove dvojice ispunio volju oèevu? rekoše mu: prvi. reèe im isus: zaista vam kažem da æe carinici i kurve pre vas uæi u carstvo božje.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,787,364,434 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo