Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
أفقد صرت اذا عدوا لكم لاني اصدق لكم.
je, sasa nimekuwa adui yenu kwa sababu ya kuwaambieni ukweli?
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا ابن الانسان هو رب السبت ايضا
kwa hiyo, mwana wa mtu ni bwana hata wa sabato."
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
اذا الموت يعمل فينا ولكن الحياة فيكم.
hii ina maana kwamba ndani yetu kifo kinafanya kazi, lakini ndani yenu uhai unafanya kazi.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا الايمان بالخبر والخبر بكلمة الله.
hivyo basi, imani inatokana na kuusikiliza ujumbe, na huo ujumbe unatokana na neno la kristo.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا الذين رقدوا في المسيح ايضا هلكوا.
zaidi ya hayo, wale wote waliokufa wakiwa wameungana na kristo wamepotea kabisa.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا لا يفتخرنّ احد بالناس. فان كل شيء لكم.
basi, mtu asijivunie watu. maana kila kitu ni chenu.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا الناموس مقدس والوصية مقدسة وعادلة وصالحة.
basi, sheria yenyewe ni takatifu, na amri yenyewe ni takatifu, ni ya haki na nzuri.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا ايها الاخوة لسنا اولاد جارية بل اولاد الحرة
kwa hiyo, basi, ndugu, sisi si watoto wa mtumwa bali wa mama huru.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا الذين هم من الايمان يتباركون مع ابراهيم المؤمن.
basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na abrahamu aliyeamini.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا اجد الناموس لي حينما اريد ان افعل الحسنى ان الشر حاضر عندي.
basi, nimegundua kanuni hii: ninataka kufanya jema, lakini najikuta kwamba lile lililo baya ndilo ninalochagua.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا لا تملكنّ الخطية في جسدكم المائت لكي تطيعوها في شهواته.
kwa hiyo, dhambi isiitawale tena miili yenu ambayo hufa, na hivyo kuzitii tamaa zake.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا لنعيد ليس بخميرة عتيقة ولا بخميرة الشر والخبث بل بفطير الإخلاص والحق
basi, tufanye karamu hiyo si kwa chachu ile ya kale, chachu ya ubaya na uovu, bali kwa mkate usiotiwa chachu, mkate wa usafi na kweli.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
اذا تشهدون وترضون باعمال آبائكم. لانهم هم قتلوهم وانتم تبنون قبورهم.
kwa hiyo mnashuhudia na kukubaliana na matendo ya wazee wenu; maana wao waliwaua hao manabii, nanyi mnajenga makaburi yao.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
فما هو اذا. اصلّي بالروح واصلّي بالذهن ايضا. ارتل بالروح وارتل بالذهن ايضا.
nifanye nini, basi? nitasali kwa roho yangu, nitasali pia kwa akili yangu; nitaimba kwa roho yangu, nitaimba pia kwa akili yangu.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
إذا خطط الله له ، فلا أحد يكسرها
usijali mpenzi nipo kwaajili yako
Última actualización: 2023-03-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: