Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
the initiative aims to alleviate gender discrimination within the agricultural sector.
kusudi la vuguvugu hilo ni kupunguza ubaguzi wa kijinsia katika sekta ya kilimo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
today, we look at ways in which individuals could help alleviate some of their suffering.
leo tunaangalia njia ambazo watu wangeweza kuzitumia ili kuondoa baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo watoto wa syria.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
taking over-the-counter cold medications, drinking fluids, and resting may help alleviate symptoms.
kutumia dawa zinunuliwazo bila maagizo ya daktari, kunywa maji, na kupumzika huweza kusaidia kupunguza dalili.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
...we are likewise cynical of those whose agenda includes misleading our people to believe that government is not sensitive enough to alleviate the suffering of the survivors.
...vivyo hivyo kudanganywa na wale ambao agenda yao ni pamoja na kupotosha watu wetu kuamini kwamba serikali haikuwa makini vya kutosha kupunguza mateso ya waathirika.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
in early 2020, numerous established antiviral compounds for treating other infections were being repurposed or developed in new clinical research efforts to alleviate the illness of covid-19.
mwanzoni mwa mwaka wa 2020, misombo anuwai iliyotengenezwa ya kukinga virusi na kutibu maambukizo mengine ilikuwa inatumika vingine au kukuzwa katika juhudi mpya za utafiti wa kliniki ili kupunguza ugonjwa wa covid-19.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
to further alleviate the shortage, coles ordered bigger packages from suppliers and increased delivery frequency, woolworths ordered extra stock, while aldi made stocks for a planned wednesday special available early.
ili kukabiliana na upungufu, coles waliangiza vifurushi vikubwa kutoka kwa bidha na kuongeza kwa mara ya kuwasilisha bidhaa, woolworths waliagiza bidhaa za ziada, huku aldi walitengeneza bidhaa kwa ajili ya mipango ya jumatano maalum mapema zaidi.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
b'covid-19 drug development is the research process to develop a preventative vaccine or therapeutic prescription drug that would alleviate the severity of 2019-20 coronavirus disease (covid-19).
utengenezaji wa dawa ya covid-19 ni mchakato wa utafiti wa kutengeneza chanjo ya kinga au dawa ya matibabu ambayo inaweza kuondoa ukali wa ugonjwa wa virusi vya korona 2019-20 (covid-19).
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :