Vous avez cherché: anemia (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

anemia

Swahili

safura

Dernière mise à jour : 2013-06-12
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

other programs target specific problems such as sickle-cell anemia or malaria.

Swahili

miradi mingine inalenga kushughulika na changamoto zenye kuhitaji ufuatiliaji wa karibu zaidi kama vile ugonjwa wa upungufu wa damu au malaria.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

this is a critical public health problem that has a dramatic impact on the neediest inhabitants in a region with nearly a 20 percent disease rate and where one out of five children with major sickle-cell anemia is not likely to survive past the age of five.

Swahili

hili ni tatizo kubwa sana katika afya ya jamii lililo na madhara makubwa kwa watu wanaohitaji msaaada wa haraka katika eneo lililo na kiwango cha ongezeko la ugonjwa huu kwa asilimia 20 na ambapo kwa kila mtoto mmoja kati ya watoto watano walio na anemia huwa katika hatari ya kupoteza maisha baada ya kufikisha miaka mitano.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

because sickle-cell anemia is cross-disciplinary and involves all medical specialties, this disease alone illustrates how essential it is for you to immediately take stock of the healthcare situation in our backyard.

Swahili

kwa kuwa, ugonjwa wa anemia unamuhusisha kila mmoja na kuwajumuisha wataalamu wote wa afya, ugonjwa huu unaonesha ni kwa jinsi gani unavyopaswa kupewa msisitizo wa haraka kwa kutoa huduma za afya zinazopaswa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

the organization lcdmf (the initials stand for fight against sickle-cell anemia in madagascar) works to make the population more aware of this genetic disease affecting 2 percent of the madagascan people.

Swahili

shirika la lcdmf (vifupisho vikiwa na maana ya tokomeza anemia nchini madagaska) linafanya kazi ya kutoa elimu kwa watu wa madagaska kuhusiana na ugonjwa huu wa kurithi unaoathiri asilimia 2 ya watu wa madagaska.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

two of their objectives for the upcoming years are to give better access to antibiotics for sickle-cell anemia patients and to convince malagasy political leaders that sickle-cell anemia ought to be included in the nation's public health priorities:

Swahili

kurahisisha upatikanaji wa viuavijasumu (antibiotics) vya ugonjwa wa anemia na kuwashauri viongozi wa madagaska kutoa kipaumbele kwa ugonjwa wa anemia katika vipaumbele vya taifa vya huduma ya afya yajamii, ni miongoni mwa malengo mawili ya asasi hii isiyo ya kiserikali kwa miaka ijayo:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,742,989,170 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK