Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
as i hinted before the brothers went to angola to watch the final match between egypt and ghana.
kama nilivyogusia hapo awali, hawa vijana walienda angola kutazama mechi ya fainali kati ya misri na ghana.
when it comes to foreign businessmen based in angola, they have no intention of returning to their home countries.
kiongozi huyo aliongeza kwamba ni muhimu "kuheshimu mitazamo na fikra za wengine" bila kutumia " maneno au vitendo vya vurugu".
in an old article, taken from the blog entitled angola drops, the brazilian blogger describes the market:
katika makala ya zamani kwenye blogu, iliyopewa jina la angola drops, mwanablogu wa kibrazili analilezea soko hilo:
there are an estimated 5,000 brazilians registered in angola, mainly working for construction, mining and agribusiness companies.
inakadiriwa kuwa kuna wabrazili 5,000 waliosajiliwa nchini angola haswa wanaojishughulisha na masuala ya ujenzi, uchimbaji madini na biashara za mazao ya kilimo.
on one citizen media website the issue of granting permanent residency to a coach who once deserted zambia for neighbouring angola, has assumed political overtones.
katika moja ya tovuti za uandishi wa kiraia suala la kumtunuku ukazi wa kudumu kocha ambaye wakati fulani aliitosa zambia na kwenda zake angola, kunaonekana kuwa na mrengo wa kisiasa zaidi.
milocas pereira was attacked in the beginning of the month of may by unknown people, before having communicated her intention to leave angola to some people she had spoken with.
milocas pereira alishambuliwa mwanzoni mwa mwezi mei na watu wasiofahamika, baada ya kuwa aliwasiliana na watu wake wa karibu aliokuwa amezungumza nao kuhusiana na nia yake ya kuondoka angola.
according to the association of brazilian companies in angola (aebran), trade between the two countries has risen six-fold since 2002.
kwa mujibu wa chama cha makampuni ya kibrazili nchini angola (aebran), biashara kati ya mataifa mawili haya imekuwa kwa mara sita zaidi tangu mwaka 2002.
bahia, the state with the largest percentage of blacks, is the capital of this religion, which closely follows its african roots and traditions among the yoruba people of nigeria and the bantu people of angola and the congo.
bahia, jimbo ambalo lina asilimia kubwa zaidi ya watu weusi, ndiyo makao makuu ya dini hii, ambayo inafuata kwa karibu asili yake ya kiafrika na hasa tamaduni za kiyoruba za nigeria na za kibantu za angola na kongo.
your holiness recently received president robert mugabe of zimbabwe, president eduardo dos santos of angola, president obiang nguema of equatorial guinea, president paul biya of cameroon, and president sassou nguesso of the republic of congo.
papa mtakatifu hivi karibuni alimpokea rais robert mugabe wa zimbabwe, rais eduardo dos santos wa angola, rais obiang nguema wa guinea ya ikweta, rais paul biya wa kameruni, na rais sassou nguesso wa jamhuri ya kongo.
angola and brazil have a special relationship towards each other, partially because of their common language and their shared colonial past - both countries were part of the portuguese empire - and the cultural ties that stem from this shared history.
angola na brazil zina uhusiano maalum baina yao, kutokana na matumizi ya lugha moja na pamoja na historia yao ya kutawaliwa huko nyuma - nchi hizi mbili zilikuwa sehemu ya himaya ya wareno – na utamaduni wa pamoja unaotoka na historia ya asili moja.