Vous avez cherché: biometric (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

biometric

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

biometric attendance machine

Swahili

mashine ya mahudhurio ya biometriska

Dernière mise à jour : 2024-04-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

1. ghana decides has provided information on the biometric registration its website (http://ghanadecides.com).

Swahili

1.“ghana decides” imetoa taarifa kuhusu zoezi la uandikishaji wapiga kwa kutumia alama za vinasaba katika tovuti yake (http://ghanadecides.com).

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the government of ghana website (http://ghana.gov.gh) also has an information leaflet for the biometric registration exercise.

Swahili

tovuti ya serikali ya ghana (http:///gahan.go.gh) pia inacho kipeperushi cha taarifa kuhusu zoezi hilo la kuandikisha wapiga kura.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

and aid agencies themselves are increasingly making use of advanced technology: geographic information systems, skype, biometric databases and google earth, to give just a few examples.

Swahili

na mashirika ya misaada yanaongeza matumizi ya teknolojia za kileo zaidi: kama vile mifumo ya taarifa za jiografia, skype, takwimu za biometrika pamoja na google earth, vikiwa kama ni mifano michache.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

even though the implementation of both the biometric voter registration which is been handled by the national identification authority and e-voting were practicable in the long term, they could not be introduced anytime soon”.

Swahili

ingawa utekelezaji wa uandikishaji wapiga kura wa kwa njia za vipimo vya kibaiolojia unaoratibiwa na mamlaka ya vitambulisho ya taifa na upigaji kura wa mtandao ungeweza kutumika katika kipindi kirefu kijacho, mchakato huo haungeweza kuanza kutumika hivi karibuni”.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

"all political parties have endorsed biometric registration, which is prelude to e-voting and what we are doing here today will help to shape our electoral process in the future, but we do not have the requisite infrastructure for a speedy implementation of the all important projects in the short term”.

Swahili

“vyama vyote vya siasa vimesisitiza uandikishaji kwa njia za vipimo vya kibaiolojia, ambao ni mwanzo wa upigaji kura wa mtandoni na tunachofanya hapa leo kitatusaidia kurekebisha mchakato wa uchaguzi katika siku zijazo, lakini hatuna miundo mbinu inayohitajika kwa utekelezaji wa kasi wa miradi yote muhimu katika kipindi kifupi”.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,740,640,372 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK