Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
the latter would have fed into an industrialisation strategy that would boost local development.
ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta mkoani mtwara ungesaidia katika kukuza maendeleo ya kiviwanda mkoani humo.
it penetrates the public consciousness at the discretion of the efficiency or the aggressiveness of reforms undertaken by the government to boost the private sector.
ukuaji huu unajiingiza katika fikra za umma katika ufanisi au mageuzi makubwa yaliyochukuliwa na serikali kukuza sekta binafsi.
through videos, we see and learn about the cultural importance and economical boost that working with fabric is giving some people and organizations in mali.
kwa kupitia video, tunaona na kujifunza kuhusu umuhimu wa utamaduni na ongezeko la kiuchumi ambalo utengenezaji vitambaa huwapa baadhi ya watu na mashirika nchini mali.
@commsbh: legislations and regulations aim to ensure the protection of data and boost the security of international calls and telecom networks.
@commsbh: sheria na kanuni zinakusudiwa kuhakikisha usalama wa takwimu za kimtandao na kuimarisha usalama wa simu za kimataifa na mitandao ya simu.
according to michael wilkerson who writes at foreign policy blog, obama's use of new media might boost his global approval ratings:
kwa mujibu wa michael wilkerson anayeandika katika blogu ya foreign policy, matumizi ya obama ya nyenzo mpya za mawasiliano kunaweza kuongeza umaarufu wake duniani:
check it out now - the tanzania elections are on sunday, and it will be interesting to see how the crow-sourching tool will boost information in this regard.
hebu ijaribu - uchaguzi wa tanzania utakuwa jumapili hii, na litakuwa jambo la kufurahisha kuona jinsi zana hii inayowika itakavyochagiza upatikanaji taarifa katika tukio hili.
at accra's tourist market, obama t-shirts and paintings are flying off the shelves and ghanaians are hoping for a boost in tourism after the visit.
katika soko la kitaalii la mjini accra, fulana za obama na michoro zinauzwa haraka kutoka kwenye safu na waghana wanategema kupanda kwa biashara ya utalii baada ya ziara.
aquino graced the opening of mitsubishi motor corporation’s new car factory in laguna (province south of manila) rather than attend the police ceremony.
aquino alihudhuria kuzinduliwa kwa kiwanda kipya cha magari cha kampuni ya mitsubishi huko laguna (jimbo lililo kusini mwa manila) badala ya kuhudhuria mapokezi ya miili ya polisi.
any developing country such as nigeria, wishing to develop its agricultural sector will focus direct government intervention to help farmers and boost food production on achieving steady supply of working capital, improve research and development, water supply, ensure low cost of fuel and labour, (corruption-free) subsidy on farming equipment and basic infrastructure.
nchi yoyote inayoendelea kama naijeria inayotaka kuendeleza sekta ya kilimo, italenga kuifanya serikali iingilie kati kusaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa chakula, kuboresha utafiti na maendeleo, maji, kuhakikisha gharama ya chini ya mafuta na kazi, ( bila rushwa) pia ruzuku kwa kilimo vifaa na miundombinu ya msingi.