Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
she comes from a family connected to the media in peru.
amekulia kwenye familia yenye asili ya kujihusisha na masuala ya habari huko peru.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
radio zamaneh in many ways is connected to bloggers and blogging.
redio zamaneh ina uhusiano na mabloga katika njia nyingi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
as of 2009, it is estimated that over 65 percent of malaysian homes were connected to the internet.
mpaka kufika mwaka 2009, zaidi ya asilimia 65 ya nyumba nchini malaysia tayari zilikuwa zimeunganishwa na mtandao wa intaneti.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
i think when kids are connected to their historical roots as well as community, it creates a safe space for them.
nadhani wakati ambapo watoto wameunganishwa na historia ya asili yao na ya jamii yao, hiyo huwatengenezea nafasi salama kwao.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
based on feedback from ppl in #tunisia a pattern emerges: hacked facebook accts were connected to yahoo mail accounts #sidibouzid #ammar404
kwa kutumia mwitikio kutoka kwa watu walio #tunisia mwelekeo wa mambo unajitokeza: anuani za facebook zilizoingiliwa zinahusiana na anuani ya yahoo #sidibouzid #ammar404
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
the event has “islands connected : são tomé + príncipe = África connected to the world" as a theme and is going to take place on 20 june.
mkutano huo una kaulimbiu inayosema “visiwa vimeunganishwa : são tomé + príncipe = Áfrika vimeunganishwa na ulimwengu" na utafanyika tarehe 20 juni.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
if you are about to go on holiday and you are thinking of taking your computer and get connected to wi-fi or using computers that are available in hotels and other public places, you must read this post with 13 tips to protect data, as published by andrea on her blog:
kama uko mbioni kwenda kwenye mapumziko na unafikiri kuchukua kompyuta yako na kuiunganisha na mtandao wa intaneti wa siwaya (wi-fi) au kutumia kompyuta ambazo zinapatikana kwenye hoteli au kwenye eneo lolote la umma, unahitaji kusoma makala hii yenye dondoo 13 za kulinda taarifa zako, kama ilivyochapishwa na andrea kwenye blogu yake:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (sars-cov-2) is a novel virus, first isolated from three people with pneumonia connected to the cluster of acute respiratory illness cases in wuhan.
ugonjwa sugu wa mapafu yaliyofungana ya virusi ya korona 2 (sars-cov-2) ni virusi geni, ilipatikana kwanza kutoka watu watatu waliokuwa na mchochota wa pafu waliohusiana na visa vya magonjwa sugu ya kupumua wuhan.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
yes my love, we are organically connected now. it's a natural. i've never experienced this type of connect with any woman so soon. you were sent to me to love and cherish. we should've made babies together although we are family as our love grows in a positive way. i feel very connected to you baby. i love the feeling in not afraid, i trust my heart. just trust your heart and come to me...
ndio mpenzi wangu, tumeunganishwa kiwiliwili sasa. ni tatizo la kimaumbile. sijawahi kupata aina hii ya kukutana na mwanamke yeyote hivi karibuni. ulikuwa na deni kwangu kupenda na kuthamini. tulipaswa kufanya watoto pamoja ingawa sisi ni familia kama upendo wetu unakua kwa njia nzuri. ninahisi nimeunganishwa sana na wewe mtoto. ninapenda hisia kwa kutoogopa, ninaamini moyo wangu. niamini tu moyo wako na uje kwangu...
Dernière mise à jour : 2022-05-23
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.