Vous avez cherché: civet (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

african civet

Swahili

fungo

Dernière mise à jour : 2013-04-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

african civet

Swahili

ngawa

Dernière mise à jour : 2012-02-19
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

wiv1 derived from fecal sample of bats was demonstrated to use bat, civet and human ace2 as receptor for cell entry.

Swahili

virusi vya wiv1 viliyotolewa kwenye sampuli ya kinyesi ya popo vilionyeshwa kutumia popo, ngawa na ace2 ya binadamu kama kipokezi cha kuingia kwenye seli.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

civet sars-cov has k479n and s487t mutations in its rbd, which might increase the affinity of the interaction of spike protein with human ace2 receptor.

Swahili

virusi vya sars-cov vilivyo ndani ya ngawa vina mabadiliko ya k479n na s487t kwenye rbd yavyo, jambo linaloweza kuzidisha uwezekano wa mwingiliano wa protini ya s na vipokezi vya binadamu vya ace2.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

it has been known that both sars-cov and mers-cov originated from bats and were transmitted to humans via civet cats and camels, respectively.

Swahili

imekuwa ikifahamika kwamba sars-cov na mers-cov vina chimbuko kutoka kwa popo na vilisambazwa kwa binadamu kupitia paka ngawa na ngamia, mtawalia.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

in fact, only 6 amino acid residues were observed to be different from human and civet viral isolates in the rbd and 4 of them locate in the receptor-binding motif for interaction with the ace2 receptor.

Swahili

hakika, ni mabaki 6 ya asidi amino pekee ndiyo yalipatikana kuwa tofauti kutoka kwa virusi vilivyotengwa kutoka kwa binadamu na ngawa kwenye rbd na 4 kati yazo ziko katika sehemu ya kuunganisha vipokezi kwa ajili ya miingiliano na kipokezi cha ace2.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

the rbd of sars-cov is capable of recognizing the ace2 receptors of various animals, including bat, civet, mouse and raccoon dog, allowing interspecies transmission of the virus.

Swahili

rbd ya sars-cov ina uwezo wa kutambua vipokezi vya ace2 vya wanyama mbalimbali, ikiwa ni pamoja na popo, ngawa, panya na mbwa, na kuruhusu usambazaji wa virusi baina ya viumbe.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

based on the comparative analysis between isolates of human and civet sars-covs, sars-cov is thought to undergo rapid adaptation in different hosts, particularly with mutations at the rbd of the s protein.

Swahili

kulingana na uchanganuzi wa kiulinganisho kati ya sars-cov ndani ya binadamu na ngawa, sars-cov inadhaniwa kuzoeleka haraka ndani ya wabebaji tofauti, hasa kwa mabadiliko katika rbd ya protini ya s.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

given that sars-cov infection originates from the contact between humans and civets in the markets, closing wet markets and killing civets therein could have effectively ended the sars epidemic.

Swahili

kwa kuwa maambukizi ya sars-cov hutokana na kutangamana kati ya binadamu na ngawa sokoni, kufunga soko za wanyama na kuwauwa ngawa wote mle kungesaidia kungefanikiwa kukomesha janga la sars.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

however, it has been reported that masked palm civets from the wild or farms without exposure to the live animal markets were largely negative for sars-cov, suggesting that masked palm civets might only serve as the intermediate amplifying host but not the natural reservoir of sars-cov.

Swahili

hata hivyo, imeripotiwa kwamba ngawa wenye uso wenye barakoa kutoka porini au mashambani bila kutangamana na wanyama wanaouzwa sokoni wengi wao hawakupatikana na sars-cov, na kuashiria kwamba ngawa wenye uso wa barakao wanaweza tu kutumika kama wabebaji wa kati wa kueneza lakini sio hifadhi asili wa sars-cov.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

masked palm civets (paguma larvata) and a racoon dog in live animal markets were first identified to carry sars-cov-like viruses that are almost identical to sars-cov.

Swahili

ngawa wenye uso wa barakoa (paguma larvata) na mbwa wa rakuni waliomo katika masoko ya wanyama hai walitambuliwa kwanza kubeba virusi vinavyofanana na sars-cov ambavyo vinakaribia kufanana na sars-cov.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

phylogenetic analysis shows the possibility of direct transmission of sars from bats to humans without the intermediary chinese civets, as previously believed.

Swahili

uchunguzi wa filojenitiki unaonyesha uwezekanao wa maambukizi ya moja kwa moja kutoka kwa popo kwenda kwa wanadamu bila kizuizi cha ngawa za kichina, kama ilivyokuwa ikiaminiwa hapo awali.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

they might be a dead-end host for sars-cov-2-related beta-covs, similar to civets in the case of sars-cov.

Swahili

wanaweza kuwa ndio wabebaji virusi vya beta-cov vinavyohusiana na sars-cov-2- visivyoweza kuambukiza, sawa na ngawa katika hali ya sars-cov.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

this was indirectly supported by the fact that no further sars was reported after killing all civets in the markets.

Swahili

hii iliungwa mkono kwa njia isiyo ya moja kwa moja na ukweli kwamba hakuna visa zaidi vya sars vilvyoripotiwa baada ya kuuawa kwa ngawa wote waliokuwa sokoni.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

whereas civets and other animals in the markets have been found to harbour viruses identical to sars-cov, immediate intermediate hosts for sars-cov-2 have not been identified.

Swahili

ijapokuwa ngawa na wanyama wengine sokoni wamepatikana kuwa na virusi vinavyofanana na sars-cov, wabebaji wa kati wa karibu wa sars-cov-2 hawajatambuliwa.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK