Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
the selebi conviction is another nail in the coffin of thabo mbeki's credibility
hukumu ya selebi ni msumari mwingine katika jeneza la uadilifu wa thabo mbeki
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
students responded on tuesday by marching through makerere university grounds, carrying signs and a coffin to protest the killings.
wanafunzi walijibu mapigo siku ya jumanne kwa kuandamana kwenye viwanja vya chuo kikuu cha makerere huku wamebeba mabango na jeneza ili kupinga mauaji hayo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
some mourners took photos and tweeted live as people grieved, fainted and demanded to carry the coffin of the much-loved iconic actor to the cemetery.
waombolezaji walipiga picha na kutuma ujumbe wa moja moja kupitia mtandao wa twita wakati watu wakiomboleza, ambapo kulikuwa na matukio ya wengine kuzimia na wengine wakidai kuruhusiwa kulibeba jeneza la mwigizaji huyo nguli aliyetokea kupendwa kuelekea makaburini.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
as images of them sitting in icy rain along with the coffins of their relatives, spread across social media, solidarity protests in form of peaceful sit-ins spread like fire across the whole country.
wakati picha zao zikisambazwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii zikiwaonesha wakiwa wamekaa huku wakinyeshewa na mvua iliyoambatana na barafu sambamba na majeneza ya ndugu zao, maandamano ya mshikamano kwa mtindo wa maandamano ya amani ya kukusanyika sehemu moja yalisambaa kama moto katika sehemu mbalimbali za nchi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :