Demander à Google

Vous avez cherché: commissions (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

commissions were introduced unassisted

Swahili

kushirikishwa

Dernière mise à jour : 2020-03-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

China's National Health Commission began including asymptomatic cases in its daily cases on 1 April; of the 166 infections on that day, 130 (78%) were asymptomatic at the time of testing.

Swahili

Tume ya Kitaifa ya Afya ya Uchina ilianza kujumuisha watu wasioonyesha dalili katika visa vyao vya kila siku tarehe 1 Aprili; watu 166 walioambukizwa siku hiyo, watu 130 (asilimia 78) hawakuonyesha dalili wakati wa kupimwa.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

In 11.8% of the deaths reported by the National Health Commission of China, heart damage was noted by elevated levels of troponin or cardiac arrest.

Swahili

Katika asilimia 11.8 ya vifo vilivyoripotiwa na Tume ya Kitaifa ya Afya ya Uchina, uharibifu wa moyo ulionekana na viwango vilivyoongezeka vya troponini au mshtuko wa moyo.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

In a study by the National Health Commission (NHC) of China, men had a death rate of 2.8% while women had a death rate of 1.7%.

Swahili

Katika uchunguzi uliofanywa na Tume ya Kitaifa ya Afya ya Uchina (NHC), wanaume walikuwa na kiwango cha kifo cha asilimia 2.8 ambapo wanawake walikuwa na kiwango cha kifo cha asilimia 1.7.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Supportive treatments may be useful in those with mild symptoms at the early stage of infection.The WHO and Chinese National Health Commission have published recommendations for taking care of people who are hospitalised with COVID-19.

Swahili

Matibabu inaweza kutumiwa kwa wale wanaonyesha dalili isiyo kali mwanzoni mwa maambukizo hayo. WHO na Tume ya Kitaifa ya Afya ya Uchina imechapisha mapendekezo ya kuwatunza watu waliolazwa hopitalini kwa sababu ya COVID-19.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

There is evidence that hydroxychloroquine may have anti-cytokine storm properties.Tocilizumab has been included in treatment guidelines by China's National Health Commission after a small study was completed.

Swahili

Kuna ushahidi kwamba dawa ya hydroxychloroquine inaweza kuwa na sifa za kupambana na ongezeko kupita kiasi la sitokini. Tocilizumab imejumuishwa kwenye maelekezo ya matibabu ya Tume ya Afya ya kitaifa ya China baada ya utafiti mdogo kukamilishwa.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

A hospital official told Anadolu Agency, a local news outlet, that one of the deceased was Jalal Saifur Rahman, a director of Bengali Anti-Corruption Commission, who was cared for at the Kuwait Maitree Hospital.

Swahili

Afisa wa hospitali aliliambia Shirika la Anadolu, shirika la habari la ndani kwamba mmoja wa waliopoteza maisha yao alikuwa Jalal Saifur Rahman, mkurugenzi katika Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini Bengani, ambaye alitibiwa katika Hospitali ya Kuwait Maitree.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

A public notice was released by Wuhan Municipal Health Commission on 31 December.

Swahili

Notisi ya umma ilitolewa na Tume ya Afya ya Minispaa ya Wuhan mnamo 31 Desemba.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

As shown in Fig. ​Fig.1,1, clusters of pneumonia that had unknown origins were first reported from Wuhan on December 31, 2019 to the China National Health Commission.

Swahili

Kama ilivyoonyeshwa kwenye ​Picha ya 1,1, mikusanyiko ya nimonia ambayo chimbuko lake halikujulikana iliripotiwa mara ya kwanza kutoka Wuhani tarehe 31 Disemba 2019 kwa Tume ya Kitaifa ya Afya nchini China.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

It is a key part of Regulation 12 about safe care and treatment, periodically inspected by the Care Quality Commission.

Swahili

Ni sehemu muhimu ya Kanuni ya 12 kuhusu tiba salama na matibabu, ikikaguliwa muda baada ya muda na Tume ya Ubora wa Tiba.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

The Chinese National Health Commission initially claimed that there was no "clear evidence" of human-to-human transmission.

Swahili

Tume ya Taifa ya Afya ya Uchina mwanzoni walidai kuwa hakukuwa "ushahidi wazi" ya kuenea kati ya binadamu hadi binadamu.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

The Wuhan Municipal Health Commission later released a public notice on 31 December and informed the WHO.

Swahili

Tume ya Afya ya Manispaa ya Wuhan baadaye iliyoa notisi ya umma tarehe 31 Desemba na kujulisha WHO.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

judicial service commission Tanzania

Swahili

tume ya utumishi serikalini

Dernière mise à jour : 2017-10-13
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

... With the security features, if a ballot box is snatched and swapped, the commission would know.

Swahili

…Huku kukiwa na nyenzo za usalama, (ambazo) kama sanduku la kupigia kura litachanwa ama kubadilishwa, tume itajua.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

...t would be good if the Central Commission for Elections and Referendums of Tajikistan (CCERT) demanded that all presidential candidates declare their annual income and its sources...

Swahili

...itakuwa vizuri kama Tume ya Mpito ya Uchaguzi na kura ya maoni ya Tajikistan (CCERT) kuwataka wagombea wote wa urais kutangaza mapato yao ya kila mwaka na vyanzo vyake ...

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

2014 elections logo, via the Facebook page of the independent election commission As elections near in Tunisia, netizens are debating whether it is worth casting their votes in the upcoming legislative and presidential polls.

Swahili

Nembo ya uchaguzi wa 2014, kupitia ukurasa wa Facebok wa tume huru ya uchaguzi Kadri uchaguzi unavyokaribia nchini Tunisia, watumiaji wa mtandao wanajadiliana ikiwa uchaguzi huo una hadhi ya wao kupiga kura katika uchaguzi ujao wa wabunge na rais.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

A thread soon emerged on twitter alleging an attempt to distract the local audience from damaging scandals concerning his own Liberal Party colleagues at the Independent Commission of Corruption in New South Wales.

Swahili

Mambo yaliwaka kwenye mtandao wa Twita ambapo uzi unaohusiana na matamshi hayo ulianzishwa kumtuhumu kujaribu kuhamisha welekeo wa mjadala kufuatia kashfa mbaya kuhusu jamaa zake wa chama cha Liberal wanaokabiliwa na mashitaka mbele ya Tume Huru ya Ufisadi huko New South Wales.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Abhisit could be charged in the courts, as argued by Pheu Thai Party spokesman Prompong Nopparit, urging the National Anti-Corruption Commission (NACC) to investigate the case.

Swahili

Kwa maana hiyo, Abhisit anaweza kupelekwa mahakamani kujibu mashitaka ya kuvunja sheria hiyo, ndivyo alivyojenga hoja msemaji wa Chama cha Pheu Thai, Prompong Nopparit, ambapo aliihimiza Tume ya Kudhibiti Rushwa ya Taifa (NACC) kuanzisha uchunguzi wa kesi hiyo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

According to the Human Rights Commission of Pakistan, since 2010, the bodies of hundreds of Balochistan’s “missing people” have turned up dead bearing torture marks.

Swahili

Kwa mujibu wa Tume ya Haki za Binadamu nchini Pakistani, tangu mwaka 2010, miili ya mamia ya Wabalochistani "waliopotea" wanasemekana kupoteza maisha wakiwa na majeraha ya kuteswa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

According to the Human Rights Commission of Pakistan, the Gojra riots were pre-planned and the local administration was involved.

Swahili

Kwa mujibu wa tume ya haki za binadamu ya Pakistani, machafuko ya Gojra yalipangwa, na tena serekali ya mtaa ilihusika.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK