Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
young girl in conakry, by sebastián losada - creative commons attribution-share alike 2.0 generic
msichana mmoja akiwa jijini conakry, na sebastián losada - creative commons attribution-share alike 2.0 generic
an ebola outbreak killed at least 59 people in guinea and a few suspected cases near the capital conakry suggest that it may have spread to the guinean capital.
mlipuko wa homa ya ebola umeua watu wasiopungua 59 nchini guinea na matukio kadhaa yanayohofiwa kuwa ya homa hiyo yamekaribia kwenye mjini mkuu conakry hiyo ikimaanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kuenea kwenye mji mkuu wa guinea.
on the spot in conakry, the situation seems to be quiet, according to several sources as well as phone calls made by this author to newspapers and the government.
kwenye eneo husika mjini conakry, hali inaonekana kuwa ya ukimya, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali pamoja simu zilizopigwa kwa magazeti na serikali na mwandishi huyu.
according to several news sources, captain dadis camara, leader of the military junta which seized power in guinea in december 2008, was shot and wounded by one of his aides yesterday in conakry.
kwa mujibu wa vyanzo kadhaa vya habari, kapteni dadis camara, kiongozi wa kikundi cha jeshi kilitwaa madaraka nchini guinea mwezi disemba 2008, alipigwa risasi na kujeruhiwa na mmoja wa wasaidizi wake jana mjini conakry.
alimou sow, a guinean blogger, decided to eat some pizza with his wife and some friends at a small restaurant in the upper suburbs of conakry, guinée's capital.
alimou sow, ni mwanablogu wa guinea, aliyeamua kula pizza akiwa na mke wake pamoja na baadhi ya marafiki zake katika mgahawa mdogo ulioko pembezoni mwa conakry, mji mkuu wa guinea.