Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
my mother is a business woman whereas my father is a credit manager consumer in centenary bank
Dernière mise à jour : 2024-05-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
inspectors scrutinize the packages, because they need to be certain that an intention exists to deceive the consumer.
makaguzi wanakagua kwa makini pakiti hizo, ili wapate hakikisho kuwa kuna nia ya kudanganya mteja.'
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
in 1985, khusta helped end racial apartheid by organizing a consumer boycott in port elizabeth, south africa.
mwaka 1985, khusta alisaidia kuukomesha ubaguzi wa rangi kwa kuandaa na mgomo wa kununua bidhaa za makaburu mjini port elizabeth, afrika kusini.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
the united states food and drug administration has issued warnings about shortages of drugs and medical equipment due to increased consumer demand and supplier disruption.
usimamizi wa chakula na dawa wa marekani ulitoa ilani kuhusu upungufu wa dawa na vifaa vya kimatibabu kutokana na kuongezeka kwa hitaji kutoka kwa watumiaji na kuvurugwa kwa usambazaji wa bidhaa.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
she said abhisit should opt to keep contacts with the people via television and other public communication outlets in order to avoid infringing on the consumer's rights.
yeye alisema kwamba abhisit hana budi kuendeleza mawasiliano yake na hadhira kupitia televisisheni na njia nyingine za mawasiliano ya ummaili kuepuka kutovunja haki za walaji.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
in the video, dennis kibira, the medicines advisor at heps uganda, a health consumer organization that helps increase access to essential medicine in uganda says:
katika video hii, denis kibira, mshauri wa afya wa heps uganda, shirika la wanufaika wa afya linalosaidia kuongeza upatikanaji wa dawa muhimu nchini uganda anasema:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
saree, who is also part of the committee of the telecommunication consumer protection institute, added that under thai telecommunication law, mobile phone operators are not allowed to release the list of subscribers without their consent.
saree, ambaye ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya taasisi ya utetezi wa walaji katika mawasiliano ya simu, aliongeza kwamba sheria inayosimamia mawasiliano ya simu nchini thailand, kampuni zinazotoa huduma ya simu za mkononi haziruhusiwa kuweka hadharani orodha ya wateja wao pasipo kwanza kupata ridhaa yao.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
instead, the dam is designed to regulate the flow of the sanaga river in order to increase energy production from existing and proposed downstream hydropower plants serving the southern electricity grid and the country’s single largest electricity consumer, the alucam aluminum smelter.
badala yake, bwana limebuniwa kudhibiti maji ya mto sanaga ili kuongeza uzalishaji wa umeme kwenye mashine za kufua umeme zilizopo tayari na zile zinazokusudiwa kujengwa ili kutosheleza mkondo wa umeme wa kusini pamoja na mgodi wa machimbo ya madini ya aluminiam wa alucm unaotumia umeme zaidi nchini humo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
consumers
mahasidi
Dernière mise à jour : 2018-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: