Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
opposite the continent
kinyume cha bara
Dernière mise à jour : 2021-10-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
cases throughout the continent are many.
matukio haya ni mengi barani kote.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
we will remain a 3rd world continent!
tutaendelea kuwa bara la ulimwengu wa tatu!
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
they live scattered across our continent, europe.
wanaishi maeneo mbalimbali katika bara letu la ulaya.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
still, the growth is not equally felt throughout the continent.
bado hata hivyo, ukuaji huo hauonekani kuwa na uwiano sawa katika nchi za bara hili.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
the bush government left footprints across the continent beyond the aid arena.
serikali ya bush imeaacha nyayo barani kote zaidi ya kutoa misaada.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
joan mumbua concluded that africa will remain a third world continent:
joan mumbua alihitimisha kuwa afrika litabaki kuwa bara la ulimwengu wa tatu:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
the african continent appears to be the new global frontier of digital development.
bara la afrika linaonekana kuwa kiongozi mpya wa dunia katika maendeleo ya kidijitali.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
does obama have a special responsibility to the continent, because of his ancestry?
je, obama ana jukumu maalumu kwa bara hili, kwa sababu ya asili yake?
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
education is an area with much need of intervention on the continent, especially rural africa.
elimu ni nyanja ambayo inahitaji msaada barani, hasa huko vijijini.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
those who cannot afford marriage should be continent until allah enriches them out of his grace.
na wajizuilie na machafu wale wasio pata cha kuolea, mpaka mwenyezi mungu awatajirishe kwa fadhila yake.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
economists also project that 1/3 of the poor in the world will reside on the african continent by 2015.
wanauchumi wanakadiria kuwa 1/3 ya watu maskini duniani watakuwa wanaishi katika bara la afrika ifikapo mwaka 2015.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
a group of developers and designers from europe who are curious about the emerging african tech hubs are on hack trip of the continent.
kikundi cha watengenezaji na wabunifu wa teknolojia kutoka ulaya ambao wanadadisi ukuaji wa vituo vya teknolojia barani afrika wanaendelea na safari yao ya gari barani humu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
at present, continent-wide installed capacity and power generation are roughly equivalent to those of germany or canada.
kwa sasa, uwezo na uzalishaji wa nishati barani kote ni karibu sawa na ule wa ujerumani na kanada.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
ghana was ranked the seventh-best country on the continent for good governance according to the 2009 ibrahim index of african governance.
ghana ilikuwa ni nchi bora ya saba katika bara katika utawala bora kwa mujibu wa orodha ya ibrahim ya utawala wa afrika 2009.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
calestous juma, a professor of the practice of international development at harvard university, adds that the context for the african continent is different:
calestous juma, profesa wa maendeleo ya kimataifa katika chuo kikuu cha harvard, anaongeza kwamba mazingira ya bara la afrika yako tofauti:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
the growth that fueled the continent's gdp over the past decade indicates that this rational, individualistic capitalism is installed progressively albeit unevenly across the continent.
ukuaji ulio ongezea pato la kuu la mwaka la bara la afrika kwa zaidi ya muongo mmoja uliopita unaonyesha kwamba ubepari huu wa kimantiki na kibinafsi umejijenga sawia ingawa si kwa usawa barani humu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
furthermore, many african citizens felt that once again, the narrative of a highly publicized story about africa centered on a negative story and neglected the upwards trends the continent has been witnessing.
zaidi ya hayo, raia wengi wa afrika wanaona kuwa habari kuhusu bara la afrika ambazo zinaonyesha mabaya zaendelea kuenezwa, badala ya wanahabari kuripoti kuhusu maendeleo mazuri ambayo yameenea barani afrika hivi karibuni.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
certainly, i did solicit him, but he was continent, and if he does not do what i bid him, surely he shall be imprisoned and humbled.’
na kweli mimi nilimtaka naye akakataa. na akitofanya ninayo muamrisha basi hapana shaka atafungwa gerezani, na atakuwa miongoni mwa walio chini kabisa.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: