Vous avez cherché: convictions (Anglais - Swahili)

Anglais

Traduction

convictions

Traduction

Swahili

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

i cherish every minute i spent with edom, a woman who bravely stands for her convictions.

Swahili

ninathamini sana kila dakika niliyoitumia nikiwa na edom, mwanamke ambaye kwa weledi mkubwa amekuwa akitetea kile alichokiamini.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

no, you need 3,4, 10, 15 people with the necessary convictions, determined and resolute.

Swahili

hapana, unahitaji watu 3, 4, 10, 15 ambao wana imani, wana nia, na wenye azma.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

those commenting here, unfortunately, have not convinced me otherwise, but only strengthened my previously held convictions.

Swahili

hao wanaotoa maoni yao hapa, kwa bahati mbaya, hawajaweza kubadilisha mtizamo wangu, bali wameendelea kuimarisha msimamo wangu niliokuwa nao toka awali.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

her integrity and convictions demonstrate something special about her character — her intense commitment to active citizenship within an increasingly brainwashed and fragmented populous.

Swahili

uadilifu wake na msimamo wake unaonesha kitu fulani cha pekee alichonacho- utayari wake thabiti katika uraia imara wa jamii ya watu waliorubuniwa na kuparaganyika..

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

from the side that supports the president, tweets express joy and satisfaction, while those who support henrique capriles share mixed feelings of disappointment with deep convictions that changes are possible in the future.

Swahili

zilikuwepo twiti za upande wa wale wanaomwunga mkono rais, ambazo zilionyesha furaha na kuridhika, wakati wale waliokuwa wanamwunga mkono hanrique capriles walionyesha hisia zao za kusikitishwa na matokeo hayo wakati huo huo wakiwa na matumaini kwamba mambo yanaweza kubadilika kwa siku za mbeleni.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

we accept and hold strongly to the truth that jesus christ is the son of god, and that in him, and him alone, eternal salvation can be found. because of the nature of our organization and god’s calling on us to serve his people, we allow for freedom of conviction on other doctrinal matters, provided that any interpretation is based upon the bible. no such differing interpretations or denominational differences should become an issue that hinders the ministry to which god has called us. we are

Swahili

tunakubali na kushikilia kwa nguvu ukweli kwamba yesu kristo ni mwana wa mungu, na kwamba ndani yake, na yeye pekee, wokovu wa milele unaweza kupatikana. kwa sababu ya asili ya shirika letu na wito wa mungu kututumikia watu wake, tunaruhusu uhuru wa imani juu ya mambo mengine ya mafundisho, mradi tafsiri yoyote inategemea biblia. hakuna tafsiri tofauti au tofauti za madhehebu zinapaswa kuwa suala ambalo linazuia huduma ambayo mungu ametuita.

Dernière mise à jour : 2023-04-29
Fréquence d'utilisation : 3
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,947,468,641 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK