Vous avez cherché: custody (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

custody

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

what do they do to a people in their custody?

Swahili

wanawafanyia nini watu katika rumande zao?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

what do they do to all the others who are in custody?

Swahili

wanawafanyia nini na wengine wote ambao bado wapo rumande?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

he has demanded me to place that one in his custody; he had the stronger argument".

Swahili

akasema: nipe huyo nikufugie! na amenishinda kwa maneno.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

her lord graciously accepted the offer and made mary grow up, pure, and beautiful. zachariah took custody of her.

Swahili

tena mola wake mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya zakariya awe mlezi wake.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

journalist meri jordanovska for web portal plusinfo said they witnessed police acting violently while taking a young man into custody:

Swahili

mwandishi meri jordanovska wa tovuti ya plusinfo alisema walishuhudia polisi wakitumia nguvu wakati wakimkamata kijana na kumweka chini ya ulinzi:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the women, all of whom were beaten and some of whom were sexually harassed while being detained, remained in custody for a few hours.

Swahili

wanawake, ambao wote walipigwa na ambao baadhi yao walibakwa wangali kizuizini, walishikiliwa kwa masaa kadhaa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

they took a blogger in custody and killed him in prison, and then the president goes to the world summit for democracy in indonesia, criticizing western democracy.

Swahili

walimchukua mwanablogu huyu kutoka rumande na kwenda kumuulia gerezani, na halafu rais huwa anahudhuria mkutano wa dunia wa demokrasia nchini indonesia na kukosoa demokrasia ya magharibi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

who said, “give the bondmen of allah into my custody; i am indeed a trustworthy noble messenger for you.”

Swahili

akasema: nipeni waja wa mwenyezi mungu; kwa hakika mimi kwenu ni mtume muaminifu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

a local animal rights community called "right to life" has taken temporary custody of the dog, launching a campaign to find her a new home.

Swahili

jumuia ya wazawa ya kutetea haki za wanyama inayofahamika kama "right to life (haki ya maisha")" imechukua jukumu la kumhifadhi mbwa huyo kwa muda, na pia kuanzisha kampeni ya kumpatia mbwa huyo makazi yake mapya.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

the suspect currently in custody for the murder is of albanian ethnicity, and while riots created tension between ethnic albanian and macedonian populations of skopje, macedonian citizens of all ethnicities appealed through social networks to their fellow countrymen to keep calm and deescalate this situation.

Swahili

mtuhumiwa kwa sasa aliyeko mahabusu kwa tuhuma za mauaji ni wa asili ya albania, na wakati ghasia zikisababisha hali ya kutokuelewana kati ya watu wenye asili ya albania na wenzao wa kimasedonia waishio skopje, raia wa masedonia wenye asili tofauti walitoa mwito kupitia mitandao ya kijamii kuwaomba wananchi wenzao kuwa watulivu na kumaliza hali hiyo.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

(muhammad), that was some of the news about the unseen, that we have revealed to you. you were not among those who cast lots by throwing their arrows to find out who would take custody of mary, nor were you among those who disputed the matter.

Swahili

hizi ni khabari za ghaibu tunazo kufunulia; nawe hukuwa nao walipo kuwa wakitupa kalamu zao nani wao atamlea maryamu, na hukuwa nao walipo kuwa wakishindana.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,749,155,240 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK