Vous avez cherché: emotional (Anglais - Swahili)

Anglais

Traduction

emotional

Traduction

Swahili

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

emotional

Swahili

hisia

Dernière mise à jour : 2013-10-11
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

i am feeling emotional

Swahili

nahisi

Dernière mise à jour : 2024-10-09
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Wikipedia

Anglais

how to deal with emotional problems

Swahili

matatizo ya kihisia

Dernière mise à jour : 2023-01-18
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

the president’s speech was very personal, emotional and uneducated.

Swahili

hotuba ya rais ilikuwa ya kibinafsi sana, yenye kuongozwa na hisia na isiyoonyesha weledi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

i detest it actually, it makes me more emotional than almost anything else.

Swahili

naichukia kusema kweli, na hunifanya kuwa na hisia za hasira zaidi ya kitu kingine chochote.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

he then notes the emotional and physical torture he sustained while in detention:

Swahili

kisha anaeleza kuhusu mateso ya kihisia na kimwili aliyoyapitia wakati akiwa kizuizini:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

a relative of those on board flight mh17 getting emotional while being interviewed by media.

Swahili

ndugu wa baadhi ya watu waliokuwa wakisafiri kwa ndege aina ya mh17 akionesha uso wa huzuni pale alipohojiwa na vyombo vya habari.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

and it was emotional. even the government ministers were shedding tears, remembering their experiences and lost loved ones.

Swahili

na kwa kweli lilikuwa tukio la kuamsha hisia kali kwani hata mawaziri wa serikali waliokuwepo walitiririkwa na machozi, wakikumbuka yaliyotokea kipindi hicho na hasa kwa kuwapoteza watu waliowapenda.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

you cannot make it an offense and punish a person for having feelings of sexual and emotional attraction towards others of the same gender.

Swahili

huwezi kulifanya kuwa kosa na kumwadhibu mtu kwa kuwa na tamaa ya kimapenzi na hisia za kuvutiwa na mtu mwingine wa jinsia yake.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

obviously this will continue till the 15th of april, as two very emotional nations watch a movie like story transforming itself in real life.

Swahili

ni wazi mambo haya uyataendelea mpaka tarehe 15 ya aprili, huku nchi mbili zenye hisia kali zikiangalia mchezo wa filamu unavyojikunjua wenyewe katika maisha ya kweli.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

you have always been an important and special person in my life, and not even being married can change that. so i wish you a lifetime of happiness with your new family. read more: https://www.tuko.co.ke/facts lifehacks/messages quotes/434479 70 emotional wedding wishes sister big day

Swahili

wewe daima umekuwa mtu muhimu na maalum katika maisha yangu, na hata kuwa ndoa inaweza kubadilisha hilo. kwa hivyo ninakutakia maisha ya furaha na mpenzi wako. soma zaidi: https://www.tuko.co.ke/facts lifehacks / ujumbe quotes / 434479 70 hisia harusi matakwa dada siku kubwa

Dernière mise à jour : 2024-10-11
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,952,990,250 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK