Vous avez cherché: guild (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

guild

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

as the group prepared to leave, they were confronted in the compound by nyongesa, who is believed to belong to the camp of john kamau, one of the two kenyans in the guild race.

Swahili

wakati kundi hilo lilipojiandaa kuondoka, lilibabatizwa na nyongesa ambaye inaaminika kuwa yumo katika kambi ya john kamau, mmoja wa wakenya wawili waliokuwa kwenye mbio za uchaguzi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

police say many students had gathered at the hostel for the final leg of the guild election campaigns when the watchman, suspecting one of the students could have intended to damage a vehicle in the parking lot, opened fire.

Swahili

polisi wanasema kuwa wanafunzi wengi walikusanyika katika hosteli kwa ajili ya hatua za mwisho za kampeni ya uchaguzi wa wanafunzi wakati mlinzi aliyeshuku kuwa mmoja wa wanafunzi hao alikuwa ana nia ya kuiharibu gari iliyokuwa kwenye maegesho alifyatua risasi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

earlier reports suggested supporters of simon kamau, one of the contestants in the guild presidential race, clashed with those of nrm's john taylor, prompting the shooting of the kenyan students.

Swahili

ripoti za awali zinasema kuwa mashabiki wa simon kamau, mmoja wa washindani katika kinyang’anyiro cha urais, walipambana na wale wa john taylor wa nrm, na kusababisha kupigwa risasi kwa wanafunzi hao wa ki-kenya.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

according to ugandan newspapers, the riots at makerere university, uganda's largest university, began after two students were shot dead and another critically injured by a security guard monday night during a meeting about the current student guild elections.

Swahili

kwa mujibu wa magazeti ya uganda, ghasia katika chuo kikuu cha makerere, chuo kikuu kikubwa zaidi nchini uganda, zilianza baada ya wanafunzi wawili kupigwa risasi na mmoja kujeruhiwa vibaya na mlinzi wa usalama usiku wa jumatatu wakati wa mkutano kuhusu uchaguzi wa wanafunzi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,739,799,034 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK