Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
leopold sudaryono tackles the problem of prison overcrowding in indonesia.
leopold sudaryono anakabiliana na tatizo la msongamano wa magereza nchini indonesia.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
i wonder why people are asking for sacking-sacking doesn't solve the problem.
ninashangaa kwa nini watu wanataka afukuzwe kazi –kufukuzwa hakutatui tatizo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
through this formula we can solve the problems of degree of equations (sic).
kupitia kanuni hii, tunaweza kukokotoa maswali mbalimbali ya milinganyo (sic).
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
the group saya anak bangsa malaysia is pushing for the passage of a social inclusion act to address the problem of poverty in malaysia:
kikundi cha saya anak bangsa malaysia kinashinikiza kupitishwa kwa sheria ya ujumuishi wa kijamii ili kutatua tatizo la umasikini nchini malaysia:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
so the problem of research profitability in the short- to medium-term remains for many countries.
kwa hiyo tatizo la manufaa yanayotokana na tafiti na ugunduzi unaofanyika kama matokeo ya tafiti hizo kuwa ya kati ya muda mfupi hadi wa kati, bado yapo kwa nchi nyingi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
"the problem of nigerian football is structural," the president's communication adviser told the press.
"“tatizo la soka la nigeria ni la kimfumo," mshauri wa rais wa masuala ya mawasiliano alieleza vyombo vya habari.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
the proposed google/apple plan intends to address the problem of persistent surveillance by removing the tracing mechanism from their device operating systems once it is no longer needed.
mpango uliopendekezwa wa google/apple unakusudia kushughukia tatizo la uchunguzi wa kuendelea kwa kuondoa utaratibu wa ufutaji kutoka kwa mfumo wa uendeshaji wa kifaa chao baada kukosa kuhitajika tena.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
it allowed calligraphic writing without the problems of lithography.
ilimruhusu mtaalamu wa mwandiko kuandika bila kupata shida sana ya kiundishi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
in toliara in southern madagascar, a school lunch project is helping to fight the problems of chronic malnutrition.
huko toliara, kusini mwa madagaska, mradi wa chakula cha mchana mashuleni unasaidia katika kukabiliana na matatizo yaliyokithiri ya utapia mlo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
she has delivered messages on issues as far reaching as solving the problem of bullying through to challenging the stigma of hiv/aids through to girls' right to play sport.
tayari ameshatoa mafunzo kuhusiana na mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kutatua changamoto ya maneno ya dhihaka dhidi ya wasichana ikiwa ni pamoja na kukabiliana na changamoto ya fedheha ya ugonjwa wa ukimwi kwa wasichanashe has delivered messages on issues as far reaching as solving the problem of bullying through to challenging the stigma of hiv/aids through to girls' right to play sport.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
but blogger pearson nkhoma argued that demanding banda's resignation or impeachment wouldn't solve the problem because parliament would remain populated with members who supported former president mutharika, who brought malawi into its current economic mess:
lakini mwanablogu pearson nkhoma alihoji kuwa kumtaka banda ajiuzulu au kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye hakutatatua tatizo kwa kuwa bunge bado litakuwa na idadi kubwa ya wabunge waliokuwa wakimuunga mkono rais mutharika na ambaye ndiye aliyeipelekea malawi kuwa na hali mbaya ya uchumi inayoshuhudiwa hivi sasa:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
he once told national geographic journalist, peter godwin, “i dream of an africa which is in peace with itself…i dream of the realization of the unity of africa, whereby its leaders combine in their efforts to solve the problems of this continent.
aliwahi kumwambia mwandishi wa habari wa national geographic, peter godwin, "nina ndoto ya afrika iliyo katika amani yenyewe kwa yenyewe ... ninaota ndoto ya kuwezekana kwa muungano wa afrika, ambapo viongozi wake wataunganisha juhudi zao ili kutatua matatizo yanayolikabili bara hili.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
with the huge country split into myriad, inaccessible local enclaves, it was never going to be easy to resolve all the problems of corruption, mismanagement, inter-ethnic rivalries and power struggles.
ndani ya nchi hii kubwa iliyogawanyika katika vitongoji visivyo rahisi kuvifikia, haingekuwa jambo rahisi kutatua matatizo yote ya rushwa, uzembe, ushindani wa kikabila pamoja na ushindani wa kutaka ukubwa.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
how to quit porn 1. first, you must acknowledge the addiction exists. many who are caught in the trap of addiction will adamantly deny the problem. he who conceals his transgressions will not prosper, but he who confesses and forsakes them will find compassion. – proverbs 28:13 2. you must recognize that what you are doing is wrong. addicts find a way to justify their problem in their mind. for all that is in the world, the lust of the flesh and the lust of the eyes and the boastful pride of
jinsi ya kuacha porn 1. kwanza, lazima ukubali uraibu upo. wengi ambao wamenaswa katika mtego wa uraibu watakataa kwa uthabiti tatizo hilo. afichaye makosa yake hatafanikiwa, bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema. – mithali 28:13 2. ni lazima utambue kwamba unachofanya si sahihi. walevi hutafuta njia ya kuhalalisha shida yao akilini mwao. maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho, na kiburi cha
Dernière mise à jour : 2021-10-26
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.