Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
for more details on how to take part, take a look at the campaign website.
kwa taarifa zaidi kuhusu namna ya kushiriki, pitia tovuti ya kampeni hiyo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
we have also shared local advice on how to craft messages that clear and culturally appropriate.
tumeshirikiana nao kuwapa ushauri mahsusi kwa maeneo yanayolengwa kuhusu namna ya kutunga ujumbe unaoeleweka na unaokubalika kiutamaduni.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
from turkey, engin onder describes how turkish twitter users spread the word on how to circumvent the block:
kutoka uturuki, engin onder anaeleza namna watumiaji wa twita walivyosambaza ujumbe wa namna ya "kuuzunguka" ufungiaji huo:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
our staff will be sharing their individual volunteer efforts for nelson mandela on facebook as well, and here are 67 ideas on how to change the world.
wafanyakazi wetu watakuwa wakijitolea juhudi zao kwa ajili ya nelson mandela hata kupitia ukurasa wa facebook, na hapa kuna fikra 67 za namna ya kuubadili ulimwengu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
the sudanese diaspora were on standby for those who needed help on the ground giving tips on how to document the protests and possible use of social media sites in the advent of an internet shutdown.
raia wa sudani wanaoishi nje ya nchi hiyo walikuwa tayari kwa wale waliohitaji msaada walioko eneo la tukio kwa kuwapa maelekezo ya namna ya kutangaza maandamano hayo na matumizi ya zana za uandishi wa kiraia ikitokea mtandao wa intaneti umekatwa.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
gulelle sub-city residents who couldn't get drinking water for the past 20 days said they were not affected because they had been given training on how to live without water.
wakazi wa mtaa wa gulelle ambao hawakuweza kupata maji kwa siku 20 zilizopita wamesema hawajapata mafunzo ya namna ya kuishi bila maji.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
most of the people around me are shocked, we even had a discussion in our class on how to avoid such things happening, and what should be the role of government, universities and students?
watu wengi wanaonizunguka walishangaa, na tulikuwa na mjadala darasani kwetu namna gani tunaweza kuzuia matukio kama haya, na serikali, vyuo vikuu na wanafunzi kila mmoja kwa nafasi yake afanye nini?
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
having been marred in a lengthy political quagmire, the malagasy blogosphere is trying to steer the debate away from a political solution to an overall debate on how to re-ignite an economy that has faltered over the past three years.
kwa kule kukabiliwa na historia mbaya ya migogoro isiyoisha ya kisiasa, ulimwengu wa wanablogu wa kimalagasi unajaribu kuchochea mijadala itakayotoa suluhisho la kisiasa kwa mjadala wa jumla wa namna ya kuukuza upya uchumi ambao umedororora katika miaka mitatu iliyopita.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
here is a video providing information on how to protect oneself from the ebola virus : follow our in-depth coverage: the struggle to #stopebola in west africa
hapa kuna video yenye taarifa za namna ya kujilinda na virusi vya ebola :
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
additionally, they pointed out, a lack of a long-term strategic plan on how to combat terrorism by kenya may explain al-shabaab's continued potency:
kwa nyongeza, walibainisha kuwa, kutokuwepo kwa mpango mkakati wa muda mrefu wa namna ya kupambana na ugaidi nchini kenya unaweza kueleza sababu ya kuendelea kwa nguvu ya al-shabaab:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
rising voices and global voices are holding a live online chat for bloggers and activists on friday march 6, 2009 (5 pm nairobi time) on how to use blogging to improve awareness and information about hiv/aids.
mradi wa rising voices na global voices wanaandaa gumzo la moja kwa moja mtandaoni kwa wanablogu na wanaharakati siku ya ijumaa mwezi wa tatu mwaka huu(saa 11 jioni kwa saa za nairobi) mada kuu ikiwa jinsi ya kublogu na kuongeza uelewa na habari kuhusu virusi vya ukimwi na ukimwi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
counselling is a way to teach children to protect themselves from bad acts and to advise them on how to protect themselves from sexual violence. in our school we have a parenting desk and you plead that the main characters are you children . so every class from the first class has two representatives of the female and male gender. this is their job to listen to them if you fail to talk to the teacher and you plead. so when you have any kind of problem, you can be
ushauri nasaha ni namna ya kuwafundisha watoto kujilinda dhidi ya vitendo vibaya pamoja na kuwashauri jinsi ya kujilinda na vitendo vya ukatili wa kijinsia. katika shule yetu tuna dawati la malezi na unasihi ambalo wahusika wakuu ni nyie watoto . hivyo basi kila darasa kuanzia darasa la kwanza kuna wawakilishi wawili jinsia ya kike na kiume . hawa kazi yao ni kuwasikiliza endapo umeshindwa kuzungumza na mwalimu wa malezi na unasihi . kwa hiyo unapopata changamoto ya aina yoyote ile unaweza ukawa
Dernière mise à jour : 2024-07-16
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.