Vous avez cherché: in any country anyone (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

in any country anyone

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

in any case, trying to copy from a particular country is a riddle with wrong answer

Swahili

kwa hali yoyote ile, kutaka kuiga nchi fulani ni kitendawili kisicho na jibu

Dernière mise à jour : 2013-04-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

mandatory conscription is not found in any developed country, any western country, nor the usa.

Swahili

kulitumikia jeshi kwa lazima ni utaratibu usiokuwepo kokote kwa ajili ya maendeleo, iwe kwenye nchi yoyote ya magharibi, wala marekani.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

they will not help you against god in any way.

Swahili

kwa hakika hao hawatakufaa kitu mbele ya mwenyezi mungu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

and composed you in any form that he wished?

Swahili

katika sura yoyote aliyo ipenda akakujenga.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

i have not seen this formula before in any book.

Swahili

sijawahi kuiona kanuni hii katika kitabu chochote.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

mexico has the highest number of kidnappings per capita of any country in the world.

Swahili

meksiko ina wastani wa juu zaidi wa utekaji ikilinganishwa na nchi yoyote ile duniani.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

if you disregard them, they will not harm you in any way.

Swahili

na ukijipuuza nao, basi wao hawatakudhuru kitu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

he who turns on his heels will not harm god in any way.

Swahili

na atakaye geuka akarudi nyuma huyo hatamdhuru kitu mwenyezi mungu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

but they only mislead themselves, and they cannot harm you in any way.

Swahili

wala hawapotezi ila nafsi zao, wala hawawezi kukudhuru kwa lolote.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

i reject the idea that shariah in any form can be enforced by those who have raped and plundered my country, blown up schools and mosques and beheaded soldiers.

Swahili

kukataa wazo kwamba shariah kwa namna yoyote inaweza kutekelezwa na wale ambao wamebaka na kupora nchi yangu, kulipua shule na misikiti na kukata askari vichwa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

currently occupying every possible government job in any muslim country you survey, another name for this breed of muslim is "hypocritical bastards".

Swahili

kwa sasa wamejichomeka kwenye kila fursa ya ajira serikalini katika nchi za kiislamu unazoweza kuzifuatilia, jina jingine kwa aina hii ya waislamu ni “wapumbavu wanafiki”.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

3 out of 10 of these girls have never been enrolled in any type of educational institution.

Swahili

wasichan 3 kati ya 10 hawajawahi kupata elimu ya aina yoyote katika taasisi zinazohusika na elimu.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

-this project is not meant in any way to hurt the reputation of the daily star.

Swahili

-mradi huu haukukusudiwa kwa namna yoyote kuharibu sifa ya daily star.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

but neither their hearing, nor their sight, nor their minds availed them in any way.

Swahili

na hayakuwafaa kitu masikio yao, wala macho yao, wala nyoyo zao kwa lolote.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

if any do disdain to worship him, and grow arrogant, he will in any case gather them all before him.

Swahili

na watakao ona uvunjifu utumwa wa mwenyezi mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

girls are killed in a gendercide routine in any one decade than people were slaughtered in all the genocides of the twentieth century.

Swahili

wasichana wanauawa mithili ya mauaji ya kimbari ya jinsia katika muongo mmoja kuliko watu waliouawa kwenye matukio yote ya mauaji ya kimbari kwenye karne ya ishirini.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

and your lord creates whatsoever he wills and chooses, no choice have they (in any matter).

Swahili

na mola wako mlezi huumba na huteuwa atakavyo. viumbe hawana khiari.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

and dread the day when no one shall avail anyone in any way; nor shall any ransom be accepted from anyone; nor shall intercession profit any body; nor shall the offenders be helped from any quarter.

Swahili

na iogopeni siku ambayo hatamfaa mtu mwenziwe kwa lolote, wala hakitakubaliwa kwake kikomboleo, wala maombezi hayatamfaa, wala hawatanusuriwa.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

except such as repent and believe and do good, these shall enter the garden, and they shall not be dealt with unjustly in any way:

Swahili

isipo kuwa walio tubu, wakaamini, na wakatenda mema. hao, basi, wataingia peponi wala hawatadhulumiwa chochote.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

i was very lucky to find it in this shop, and as fate would have it, it was the last one available and i hadn’t seen it in any other shop.

Swahili

nilikuwa na bahati sana kuikuta kwenye duka hilo, na kama nilivyokuwa nimeandikiwa, ilikuwa ni ya mwisho iliyobaki na sikuwa nimeiona kwenye duka lingine lolote.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,785,424,603 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK