Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
weddings are incredibly important to turkmen.
harusi ni za muhimu sana kwa kwa watukimen.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
why does this seem incredibly hitler/nazi-esque to me?
kwa nini naiona hali hii kana kwamba ni ya ki-hitler/ki-nazi?
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
what we do can be incredibly rewarding, especially during times like this.
tunachokifanya kinaweza kuridhisha sana, hasa wakati kama huu.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
it has to be something incredibly simple, that requires little thinking to use.
ili hilo liwezekane, inabidi zana hiyo iwe rahisi sana, isiyohitaji kufikiri sana.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
incredibly, however the issues involved have barely registered the attention of the international community.
inashangaza, hata hivyo suala hili halijapata wasikilizaji kwenye jamii ya kimataifa.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
the thing that really upsets me is that most people who see this movie won’t question, or even notice, this incredibly racist portrayal....
jambo ambalo linanikera ni kuwa watu wengi wanaoiangalia filamu hii hawaulizi, au hata hawaoni, muonekano huu usioaminika wa kibaguzi….
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
djouma and ibahim are the two lone survivors of an incredibly violent attack by militiamen that took the lives of 5 of ibrahim's siblings in the central african republic, near the border with cameroon.
djouma na ibahim ni wahanga wa shambulizi la kikatili lililofanywa na wanamgambo waaasi, tukio lililokatisha maisha ya ndugu watano wa damu katika jamhuri ya afrika ya kati, karibu na mpaka wa kameruni.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
incredibly, the ridiculous lie is now being spread via wikipedia (thanks karooboy for pointing out) that the origin of the vuvuzela is actually based on a “kudu horn” that the blacks used to blow.
kuna uongo wa ajabu unasambazwa kupitia wikipedia (asante karooboy kwa kuuonyesha) kwamba asili ya vuvuzela imetokana na “pembe ya kudu” ambalo lilikuwa likipulizwa na weusi.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :