Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
aside from meeting the leaders of indonesia, clinton found the time to visit a slum community in jakarta.
pamoja na kukutana na viongozi wa indonesia, clinton alipata muda wa kutembelea makazi ya watu masikini mjini jakarta.
in indonesia, thousands of workers marched in front of the presidential palace in jakarta to commemorate labor day.
nchini indonesia, maelfu ya wafanyakazi waliandamana mbele ya ikulu ya nchi hiyo jijini jarkata kuadhimisha siku ya wafanyakazi.
scores of indonesians gather in central jakarta, the country's capital, to light 1,000 candles in protest to the israeli airstrikes in gaza strip.
raia wa indonesia walikusanyika katikati ya jakarta, mji mkuu wa nchi hiyo, kuwasha mishumaa 1,000 kupinga mashambulio ya israel katika ukanda wa gaza.
"i really think that she looks younger and more goodlooking, maybe it was because of her constant smile she gave during her visit here...some people on some boring tv talkshow mentioned previously that jakarta is a little overreacted with her visit.
"kwa kweli nafikiri anaonekana kijana na mrembo, pengine inatokana na tabasamu lake alilotoa wakati wa ziara yake hapa… watu wengine katika kipindi cha maongezi cha televisheni nilichokitaja kabla walisema kwamba watu wa jakarta walijawa jazba za bure kuhusu ziara yake.
last month, sony arianto kurniawan or sony ak from mega kuningan, jakarta in indonesia was threatened with a trademark infringement lawsuit by japan’s sony corporation if he does not close his personal website whose domain name is www.sony-ak.com.
mwezi uliopita, sony arianto kurniawan au sony ak kutoka mega kuningan, jakarta nchini indonesia alitishiwa kushitakiwa kwa kukiuka sheria za matumiza ya nembo na shirika la sony la japan kama hatafunga tovuti yake binafsi yenye jina www.sony-ak.com.