Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
at a time when expensive legislative time should be judiciously expended on the issues that really matter to the people of the country; when ugandan lawmakers and the ugandan government should be concerned about the welfare of vulnerable ugandans, (including those same-gender loving men and women in their society, who are susceptible to wanton physical abuse and discrimination); when the ugandan authorities should be looking to protect those of the country's citizens whose welfare is their responsibility; when the challenges that face our continent in this 21st century are enormous; what we hear of instead is an anti-homosexuality bill being introduced to parliament.
wakati ambapo muda wa gharama za bunge ulitakiwa kutumika kisheria katika mambo ambayo yana tija kwa maisha ya watu wa nchi hii; wakati watunga sheria wa uganda na serikali ya uganda ilitakiwa kuguswa na ustawi wa waganda wanaoteseka, (ikijumisha watu wale wanaowapenda watu wa jinsia yao katika jamii yao, ambao wanahatarishwa kwa matumizi ya nguzu na unyanyapaa); wakati ambapo mamlaka za uganda zilitakiwa kuangalia namna ya kulinda wale wananchi wa vijijini ambao ustawi wao ni jukumu lao; wakati ambapo changamoto zinazolikabili bara letu katika karne hii ya 21 zinatisha; tunachokisikia badala yake ni muswada wa kupinga ushoga ukiletwa bungeni.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :