Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
but he, willing to justify himself, said unto jesus, and who is my neighbour?
lakini yeye akitaka kujihakikishia kuwa mwema akamwuliza yesu, "na jirani yangu ni nani?"
in a suicide note now held by police, kamanya reportedly said he took his life because of misunderstandings related to politics.
kupitia ujumbe aliouacha ambao kwa sasa upo mikononi mwa polisi, kamanya anasemekana kusema kuwa aliamua kujinyonga kwa sababu ya migogoro ya kisiasa.
boko haram lost an estimated 100 combatants in the clash but a suicide bomber detonated explosives in the city a few hours later, killing 5 civilians.
boko haram imepoteza zaidi ya wnaamgambo 100 kwenye mapigano hayo lakini mtu aliyejitolea mhanga alijilipua mjini masaa machache baadae, na kuua watu wasiopungua watano.
he saids that it is not an economy-environmental issue but rather the government distorted priorities, a suicide for guatemala future.
alisema kuwa hili sio jambo la kiuchumi au la kimazingira bali serikali ilipotosha vipaumbele, ni kifo cha kujiua kwa guatemala ya kesho.
at the 2004 meeting, iranian blogger hossein derakhshan expressed the hope that the spread of online citizen media would make societies more democratic and war more difficult for governments to justify.
katika mkutano wa 2004, mwanablogu wa kiirani hossein derakhshan alielezea matumaini kwamba kuenea kwa uanahabari wa kiraia kwenye wavuti kutazifanya jamii kuwa za kidemokrasi zaidi na kwa serikali kuapta ugumu zaidi katika kuhalalisha vita.
benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.
benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.