Vous avez cherché: laureate (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

laureate

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

but nobel laureate dr. yunus is keeping mum this time also.

Swahili

lakini dk. yunus anakaa kimya hata katika kipindi hiki.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

many people across the board have supported the cause but nobel laureate dr. muhammad yunus is keeping mum so far.

Swahili

watu wengi kutoka katika vyombo vya kufanyia maamuzi waliunga mkono maandamano haya, lakini dr. muhammad yunus aliyetunukiwa tuzo ya nobeli hadi sasa bado amekaa kimya.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

nelson mandela, the first democratically elected president of south africa and a noble peace prize laureate, died on december 5, 2013 aged 95.

Swahili

nelson mandela, rais wa kwanza wa afrika kusini kuchaguliwa kidemokrasia na mshindi wa tuzo ya amani ya nobel, , amefariki desemba 5, 2013 akiwa na umri wa miaka 95.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the project from the other global voices laureate, jillian c. york, also takes on private companies, though from a different angle.

Swahili

mradi wa mwanajumuia mwingine wa global voices aliyejipatia tuzo kwa kazi yake nzuri, jillian c. york, utajikita zaidi kwenye makampuni binafsi, pamoja na kuwa, malengo yake yatakuwa kwa mtazamo tofauti.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

the beloved statesman and nobel peace prize laureate, who is often referred to as madiba, spent 27 years in prison for his political activities during the country's white minority rule before becoming president.

Swahili

mtu huyo anayependwa sana, na mshindi wa tuzo ya amani ya nobel, anayejulikana pia kama madiba, alitumikia kifungo cha miaka 27 jela alikokuwa amefungwa kwa sababu ya harakati zake za kisiasa wakati wa utawala wa makaburi nchini humo kabla ya yeye kuwa rais.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

on 01 dec 2009, along with j’ann allen, the wife of a retired military officer and sandra mansour, a palestinian refugee, she issued a public invitation to political activist, nobel laureate and holocaust survivor elie wiesel to go to gaza with them. wiesel was urged to “break your silence and come with us”, during a speech at st.louis university:

Swahili

mnamo desemba 1, 2009, pamoja na j’ann allen, mke wa ofisa wa jeshi mstaafu na sandra mansour, mkimbizi wa kipalestina, alitangaza hadharani mwalikowa kwenda gaza kwa mwanaharakati wa siasa, mshindi wa tuzo ya nobeli na muhanga wa mauaji ya halaiki ya wayahudi elie wiesel.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,763,993,158 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK