Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
meanwhile, arab regimes seem to be immune to learning from experience.
wakati huo huo, tawala za ki-arabu zinaonekana kuwa na kinga ya kifunza kutokana na yaliyowakumba majirani zao.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
thought as a part of the shiitake project, the realization of a platform to stimulate the growth of online translation has a precise purpose:
ulibuniwa kama sehemu ya mradi wa shiitake, na kukamilika kwa jukwaa la kutia nguvu ukuaji wa tafsiri katika wavuti una dhamira maalum:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
it gives police wide ranging ability to search the homes of suspected violators of the law, seize their electronic hardware, and demand their data from online service providers.
muswada huo unawapa polisi mamlaka makubwa ya kupekua nyumba za watu wanaohisiwa kuvunja sheria hiyo, kukamata vifaa vyao vya kieletroniki, na hata kudai data zao kutoka kwa makampuni yanayotoa huduma za mtandao.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
interestingly, apart from online media strategy to criticize censorship, one opposition-led state actually took the unprecedented move to table the freedom of information bill to disclose information of public interests to every individual.
halafu, jambo la kuvutia, licha ya mkakati wa kutumia vyombo vya habari vya mtandaoni kukosoa uchujaji habari, moja ya majimbo yanayo ongozwa na upande wa upinzani liliamua, kwa hakika, kupeleka bungeni muswada wa sheria ya uhuru wa habari ili kuweka wazi taarifa kwa manufaa ya umma kwa kila mtu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.