Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
maisha yangu jukumu langu
maisha yangu, jukumu langu
Dernière mise à jour : 2023-04-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
wewe ni moyo wangu na maisha yangu.
nitakupenda milele mume wangu
Dernière mise à jour : 2024-03-15
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
namna ni wewe
Dernière mise à jour : 2020-10-12
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
nakupenda sana. wewe ndiye mwanamke wa maisha yangu...
ndiye mwanamke wa maisha yangu...
Dernière mise à jour : 2020-05-02
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mwalimu ni wewe kiongozi ni wewe
mwalimu ni wewe kiongozi ni wewe
Dernière mise à jour : 2020-12-30
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kipenzi nashindwa niseme nini kwani umefanyika baraka katika maisha yangu mungu akuzidishie hekima na maarifa uishi ukimpendeza yeye akukufanye kuwa kichwa na si mkia
Dernière mise à jour : 2023-05-09
Fréquence d'utilisation : 3
Qualité :
Référence:
naweza kusema unisamehe sana mimi muuh najua umechukia hivyo naomba unisamehe tena na shukuru sana kwa kunijali wewe ni mtu muhimu katika maisha yangu umenionyesha upendo ambao ni ngumu kuupata kwa mtu mwingine najua ningumu sana kupendwa nakila mtu
naweza kusema unisamehe sana mimi muuh najua umechukia hivyo naomba unisamehe tena na shukuru sana kwa kunijali wewe ni mtu muhimu katika maisha yangu umenionyesha upendo ambao ni ngumu kuupata kwa mtu mwingine najua ningumu sana kupendwa nakila mtu
Dernière mise à jour : 2023-07-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
nikwamba katika siku ambayo sitoisahau katika maisha yangu nilikuwa na furaha ni siku ambayo nimezaliwa na mm najivunia kuwepo duniani naishi na wazazi wangu wananipenda na wananijal na na penda siku ambayo nakuja duniani kwa sababu sikutarajia kama ningezaliwa na ntakuja kuishi na familia yangu kwa ujumla ingawa kuna watu wanaozaliwa dunia hawajaiyona wanakufa mimi nashukuru kwa kuwepo duniani na hasa zaidi nnachokipenda najivunia kupata kaka mzuri ambaye ninapofanya makosa ananikataza na kunifunza mambo mazuri ili yajekunisaidia katika maisha yangu baadaye kwa kweli napenda kuwa na kaka ambaye ananijali na ananipenda siku zote sitarajii kama nitakuwa na kaka atakaye mikali na kukipenda kama anavyopenda alisema rashid
dhumuni la kuandika barua hii
Dernière mise à jour : 2024-05-19
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kuomboleza ni sawa! kuondokewa na mpendwa, hasa mama, ni uzoefu mkubwa na mgumu kwa kila mtu, ambao unaweza kuleta hisia kali za huzuni pamoja na simanzi kubwa. nimegundua hivi karibuni kwamba ni sawa na muhimu kabisa tena ni jambo la kawaida kuhisi kuzidiwa na hisia hizi na kupambana na maumivu ya kumpoteza mama yangu. kupata faraja kama vile kusikia maneno ya wengine ambao wamepitia maumivu kama hayo imekuwa chanzo kiku cha faraja na uhakika, hata kama wengine wamenikosoa na kushangaa kwa kuomboleza kwangu. kumsikia @oprah na@tylerperry wakizungumza kwamba kuhuzunika ni sehemu ya asili na muhimu ya mchakato wa kupona simanzi, kumenisaidia kuthibitisha hisia zangu mwenyewe na kunikumbusha kwamba siko peke yangu katika huzuni ya kupoteza mtu muhimu katika maisha yangu. nimejifunza kwamba ni sawa kuwa na wakati ambapo uzito wa kupoteza mama yangu unanirudia, na hasa, kama vile siku za alhamisi ambapo kumbukumbu za mama yangu zinakuwa zenye maana kubwa. ninajipa nafasi ya kuhuzunika, kukumbuka, na kuheshimu upendo na uhusiano niliokuwa nao naye. kumbukumbu za mama yangu zinaniletea faraja na amani, na napata nguvu kwa kujua kwamba ni sawa kuomboleza na kumkosa kwa kina. pumzika kwa amani, mama mangowi. ulikuwa mama muri, rafiki, shangazi, daktari na muuguzi wangu.
Dernière mise à jour : 2024-03-28
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: