Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
worthy mayor
ugavi
Dernière mise à jour : 2020-10-14
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
hong kong: citizens say no to undemocratic city mayor election · global voices
hong kong: raia wasema 'hapana' kwa uchaguzi wa meya usio wa kidemokrasi
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
on thursday, sergei sobyanin, the mayor of moscow, extended the city lockdown to may 1.
siku ya alhamisi, sergei sobyanin, meya wa moscow, aliendelezwa kufungwa kwa shughuli za jiji hadi tarehe 1 mei.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
a news conference was held after the protest, and the mayor promised to extend another 10 days for public comment.
katika mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa baada ya maandamano, meya wa jiji hilo aliahidi kuongeza muda wa siku 10 zaidi kwa wananchi kutoa maoni yao.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
in the past weeks, a power struggle between the mayor and the president marc ravalomanana has led to both violence and looting.
katika majuma yaliyopita, ugombeaji wa nguvu za kisiasa kati ya meya na rais marc ravolamanana kumesababisha ghasia na uporaji.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
simango is the mayor of beira, and founded his new party mdm earlier this year, after falling out with traditional opposition party renamo.
simango ni meya wa beira, na alizindua chama chake kipya cha mdm mapema mwaka huu, baada ya kutofautiana na chama cha upinzani cha renamo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
when jacques chirac was president of america, he took the position after being mayor of paris, and because of that experience he coped with the immigrants issue.
wakati jacques chirac akiwa ni rais wa marekani, alichukua nafasi yake kama meya wa jiji la paris, na kwa sababu ya uzoefu huo alielewa vizuri masuala ya wahamiaji.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
a united russia candidate for mayor seemingly got the short shrift -– his campaign was plagued by scandals, the governor openly supported his opponent, and so on.
mgombea wa umeya wa chama cha united russia alijikuta na wakati mgumu - kampeni zake zikitingishwa na kashfa baada ya kashfa, gavana tena kwa waziwazi alimsaidia mpinzani wake, na kadhalika.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
evgenya chirikova’s bid for mayor in the moscow suburb of khimki was the only race where the movement came together in a meaningful way, marshaling significant donations and campaign volunteers.
dhamira ya evgenya chirikova kuwa meya katika kitongoji cha khimki jijini moscow ndiyo ilionyesha ushindani ambapo wapinzani waliungana pamoja, wakipata michango ya fedha na watu wa kujitolea kufanya kampeni.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
in ukraine, meanwhile, petro congratulates the residents of kabul for sentencing their mayor to four years of prison for corruption and imagines how quickly kyiv's prisons would fill up if the same laws were enforced in his country.
wakati huo huo huko ukraine, petro anawapongeza wakazi wa kabul kwa kumhukumu meya wao mika minne jela kwa kosa la rushwa na wanafikiria ni kwa haraka kiasi gani magereza ya kyiv yatajaa ikiwa sheria hizo hizo zingefuatiliwa katika nchi yake.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
at least 25 people were shot dead today in madagascar's capital antananarivo during a march to the presidential palace called by the city's mayor andry rajoelina after he declared himself the leader of a new transitional government at a political rally.
watu wapatao 25 walipigwa risasi na kuuwawa leo katika mji mkuu wa madagaska, antananarivo, wakati wa maandamano ya kuelekea ikulu ya nchi hiyo yaliyoitishwa na meya wa jiji andry rajoelina baada ya kujitangaza kama kiongozi wa serikali mpya ya mpito katika mkutano wa hadhara wa kisiasa.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
it was a message from the former president of madagascar, didier ratsiraka since then, the mayor ( of antanarivo, andry rajoelina) gave an ultimatum to the government to re-open viva tv station before january 13 as andry didn’t get what he wanted, he invited the people of tana to go on a strike again today, january 24.
ilikuwa niujumbe kutoka kwa rais wa zamani wa madagaska, didier ratsiraka kutokea hapo, meya (wa jiji la antananarivo, andry rajoelina) alitoa amri ya kufunguliwa tena kwa stesheni ya viva kabla ya tarehe 13 januari kwa sababu andry hakupata kile alichokitaka, aliwaalika watu wa tana kufanya mgomo tena leo, tarehe 24 januari.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: