Demander à Google

Vous avez cherché: meme (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

meme

Swahili

cheezi

Dernière mise à jour : 2016-10-28
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

e meme

Swahili

barua meme

Dernière mise à jour : 2017-08-26
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

I iweezi meme kaabiisa

Swahili

meme siiweezi kaabiisa

Dernière mise à jour : 2013-07-19
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

In Russia the result reporting more than 140% of voters has already become a meme.

Swahili

Huko Urusi matokeo yaliyoonyesha zaidi ya asilimia 140 ya idadi ya wapiga kura tayari yamekuwa kichekesho kilichoenezwa sana mtandaoni.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Singapore: Minister's Comments Spark Internet Meme · Global Voices

Swahili

Singapore: Maoni ya Waziri Yasababisha Tafrani Mtandaoni

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

A meme pointed out how Aquino always begins his speech in the vein of George Lucas’ Star Wars.

Swahili

Utani uliokuwa ukisambaa mtandaoni ulionesha namna Aquino huanza hotuba yake kwa maneno ya George Lucas wa Star Wars.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Ms Fu's comment soon turned into an Internet meme, with people posting their own versions.

Swahili

Fu ndani ya muda mfupi yaligeuka kuwa zogo la mtandaoni, ambapo watu waliiga na kuweka maneno yao wenyewe.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

American student and Afrophile Karen Kilberg collected a few of her favorite posts about the meme, and also quotes African blogger Tatenda Muranda on Twitter as to why she wrote the post:

Swahili

Mwanafunzi kutoka Amerika anayependa Afrika, Karen Killenberg, alikusanya vichapisho vichache alivyovipenda kuhusu jinsi watu wanavyopenda Afrika, na pia anamanukuu mwanablogu Tatenda Muranda katika Twitter kuhusu sababu zake za kuandika:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

"Teacher, the test is over, but Bosnia is still writing!"This meme has widely circulated following Croatia's presidential runoff.

Swahili

"Mwalimu, mtihani umemalizika, lakini Bosnia anaendelea kuandika!" ujumbe huu umesambaa kwa kiasi kukubwa kufuatia duru ya pili ya uchaguzi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

A series of memes ridiculing President Aquino’s absence from the arrival ceremony were widely circulated on social networking sites like Facebook and Twitter.

Swahili

Mfululizo wa ujumbe uliokuwa ukienea kwa kasi kudhihaki kukosekana kwa Rais Aquino kwenye mapokezi hayo ulizunguka kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook na Twita.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Below are some photos and memes showing support for the Lumad:

Swahili

Zifuatazo ni baadhi ya picha na jumbe zikionesha kuiunga mkono jamii ya Lumad:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

It's March, and the Internet delivers 2012's first globe-consuming meme: the unstoppable, Stop-Kony 2012 video, which has highlighted the plight of African child soldiering like never before.

Swahili

Ni mwezi Machi, na mtandao unasambaza soga la kwanza duniani kote kwa mwaka 2012: video iliyozuilika ya Mzuie Kony 2012, inayoonyesha hali ngumu wanazokumbana nazo mtoto wa ki-Afrika anayechapa gwaride kwa namna ambayo haijapata kutokea.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Memes widely shared in solidarity with the victims of the Paris attacks.

Swahili

Picha zinazozunguka mitandaoni kuwafariji wahanga wa shambulio la Paris.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

One Million for the Freedom of Press in Hungary, also known as Milla, shared this meme using a photo of Orbán being arrested in 1988 and the photo of one of the students arrested now:

Swahili

Blogu ya Milioni Moja kwa Uhuru wa Habari nchini Hangari, ambayo pia hujulikana kama Milla, iliweka ujumbe huu kwa kutumia picha ya Orbán aliyetiwa nguvuni mwaka 1998 na picha ya mmoja wa wanafunzi walitiwa nguvuni hivi sasa:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

Whatever the case may be, memes like this nicely illustrate the Russia's ever-growing ethnic tensions.

Swahili

Vyovyote iwavyo, mambo kama haya yanaonyesha picha halisi ya matatizo ya ubaguzi wa rangi unaozidi kushika kasi nchini Urusi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Anglais

While no one argues with the merit of exposing the despicable crimes perpetuated by Kony's Lord's Resistance Army, the following citizen media commentaries explain why this debate is more than just a "meme war" but a struggle to reclaim the international perception and narrative about an entire continent.

Swahili

Ilhali hakuna anayepinga umuhimu wa kuonyesha uhalifu uliotendwa na Jeshi la Kony, lijulikanalo kama LRA, ripoti zifuatazo kutoka kwa raia wa kawaida zaeleza jinsi mjadala huu ni zaidi ya mawazo matupu yanayoenezwa kutumia mtandao, au meme kwa Kiingereza, lakini ni vita vya kukomboa mawazo na mtazamo wa walimwengu kuhusu bara zima.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK