Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
boosting morale of people who share our values and love rwanda.
kwa kupasha moto mori wa watu wanaoamini katika mambo tunayoyathamani na wanaoipenda rwanda.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
let's sell our values and keep quiet over the murder of women.
tuuze thamani yetu na kufumbia macho mauaji ya wanawake.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
their researches led them to consider the weight of cultural values and principles strongly anchored into the collective psyche of african businessmen to evaluate the factors for success for african entrepreneurs.
utafiti wao uliwasababisha kuzingatia uzito wa maadili ya kitamaduni na kanuni ambazo zilizojikita katika mawazo ya kawaida ya wafanyabiashara wa afrika ili kutathmini sababu za mafanikio ya wajasiriamali wa afrika.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
the front of each word shows key messages that reveal nelson mandela’s values and inspire visitors to act.
mbele ya kila neno kuna ujumbe unaoonyesha aliyothamini nelson mandela, ujumbe unaowahamasisha wasafiri wanaopita hapo kutenda.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
migrants would be more popular if minority leaders encouraged them to adopt more mainstream values and abide by the law, he said.
wahamiaji wangepata umaarufu zaidi ikiwa viongozi wa walio wachache wangewahamasisha kufuata maadili yaw alio wengi na kutii sheria, alisema.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
@commsbh: the procedures comes in order to prevent any breaching of observable moral values and traditions as well as for security considerations.
@commsbh: hatua hizo zinakuja kwa ajili ya kuzuia uvunjaji wa tunu za maadili na utamaduni pamoja na sababu za usalama.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
during the 2008 general elections, the president was touted as a man of peace ('asomdwehene') and must therefore be committed in working with public officials and appointees who reflect his character and principles.
wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2008, rais alitangazwa kuwa mtu wa amani (“asomdwehene”) na lazima kwa hiyo ajitoe mhanga katika kufanya kazi na maafisa wa umma na wateule wao wanaoakisi tabia na kanuni zake.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
however you define this work, we believe that what we're doing has value and makes a difference.
haijalishi namna utakavyobainisha kazi hii, tunaamini kuwa kile tunachokifanya kina thamani na kinabadilisha mambo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.