Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
our knowledge of our history is fragmented and rooted in skewed nostalgic visions of the past.
ufahamu wetu wa kihistoria uko katika vipande vipande na umejikita kwenye maono tenge yanayotilia mkazo yaliyopita.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
i think instead of being nostalgic about the good old days we should really look inside ourselves, both the mwananchi and the leadership and interrogate how we can build a better tomorrow.
ninafikiri badala ya kukumbuka siku nzuri za kale twapaswa kukujitazama ndani yetu, sote wananchi na watawala na kujihoji namna gani tutaijenga kesho yenye nafuu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
abdoulaye wade, in a of solidarity and pan-africanism, proposes to depopulate haiti, thereby forgetting that charity begins at home... ... abdoulaye wade, very nostalgic the 19th century, believes that marcus garvey is still alive, and that the "back to africa" movement is still valid.
abdoulaye wade, katika kuonyesha mshikamano na uafrika (panafricanism), anatoa pendekezo la kupunguza watu haiti, na kusahau kuwa wema huanzia nyumbani… … abdoulaye wade, mwenye kupenda sana kumbukumbu za karne ya 19, anaamini kuwa marcus garvey bado yu hai, na kwamba harakati za “kurudi afrika” bado zina maana.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent