Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
ccm notice
ilani ya ccm
Dernière mise à jour : 2021-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
sixth grade english notice
darasa la sita english noti ce
Dernière mise à jour : 2023-12-03
Fréquence d'utilisation : 4
Qualité :
Référence:
concerning termination notice of service
yahusu taarifa ya kusitisha huduma
Dernière mise à jour : 2024-09-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
i don't react but trust me i notice everything
huniamini
Dernière mise à jour : 2023-12-23
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
capitol hill cubans also took notice of the weekend's arrests.
blogu ya capitol hill cubans pia iliandika habari za ‘kamata kamata’ hiyo iliyofanyika mwisho wa juma.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
any other symptoms or problems that you notice with the muscle aches?
kuna dalili zozote zingine au matatizo unayoona pamoja kwa maumivu ya misuli?
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
a public notice was released by wuhan municipal health commission on 31 december.
notisi ya umma ilitolewa na tume ya afya ya minispaa ya wuhan mnamo 31 desemba.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
his sister watched him from one side and the people of the pharaoh did not notice her presence.
basi naye akawa anamuangalia kwa mbali bila ya wao kujua.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
the wuhan municipal health commission later released a public notice on 31 december and informed the who.
tume ya afya ya manispaa ya wuhan baadaye iliyoa notisi ya umma tarehe 31 desemba na kujulisha who.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
and when our clear verses are recited to them, you will notice a denial on the faces of the disbelievers!
na wanapo somewa aya zetu zilizo wazi utaona chuki katika nyuso za walio kufuru.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
the anglophone caribbean's small but energetic literary blogosphere has taken notice of a new arrival to its conversation.
kundi dogo lenye nguvu na linaloendesha blogu za kiuandishi la wanaozungumza kiingereza huko karibea limeng'amua uwepo wa mgeni mpya katika mijadala yake.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
but at first glance you don't notice the pictures also say a ton, especially ones showing a paved road or lights.
lakini kwa kuziangalia kwa haraka, huwezi kuona picha zikisema mengi, hasa zile zinazoonesha barabara zilizochongwa au taa za barabarani.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
and if you do not do it, then take a notice of war from allah and his messenger but if you repent, you shall have your capital sums.
basi mkitofanya jitangazieni vita na mwenyezi mungu na mtume wake.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
in the uk, london, notice that in your urban metro there are unicef ads to support children of syria, donate 5 pounds.
jijini london uingereza, tambua kuwa kwenye njia ya chini kwa chini ya treni ya mji kuna matangazo ya unicef yenye lengo la kuhamasisha kuwachangia watoto wa syria, changia paundi 5.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
god will make a way (out of difficulty) for one who has fear of him and will provide him with sustenance in a way that he will not even notice.
na humruzuku kwa jiha asiyo tazamia.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
at the end of the day the protest against the trade in ivory will have to be led by africans if the rest of the world is to take any notice which makes kenya’s campaign so powerful.
mwisho wa siku maandamano upinzani dhidi ya biashara ya pembe za ndovu itabidi uongozwe na waafrika ikiwa ulimwengu uliobaki utatakiwa kuona kile kinachoifanya kampeni ya kenya kuwa na nguvu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
following incumbent burundi president nkurunziza's candidacy for a third term, general godefroid niyombare announced that he has dismissed the current administration and that he is taking over until further notice.
kufuatia nia ya kugombea urais kwa kipindi cha tatu ya rais wa burundi aliye madarakani nkurunziza, jenerali godefroid niyombare alitangaza kwamba utawala uliopo umeangushwa rasmi na kwamba anatwaa madaraka mpaka itakapotangazwa vinginevyo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
as stated in the notice, the reason for this is the lack of coordination of the ministry of labor and social policy, piom and pro regarding the new law, which provides freelancers to also pay pension and disability insurance.
kama ilivyoelezwa katika taarifa hiyo, sababu kubwa ya kushindikana kutekelezwa kwa sheria hii mpya ni kukosekana kwa mawasiliano mazuri kati ya wizara ya kazi na sera ya kijamii, piom na pro, sheria inayowataka wafanyakazi walioajiriwa na mwajiri zaidi ya mmoja kutoa mchango wa pensheni pamoja na bima ya ulemavu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
i sometimes notice ms b performing strange rituals at home to ward off bad luck, and she has even cost us a lot of money in re-positioning our front and back doors, in order to capture good luck in our home through good feng shui.
mara nyingine huwa ninamshuhudia bibie b akifanya matambiko ya ajabu nyumbani yakiwa na lengo la kuondoa bahati mbaya, na hata ameshawahi kutugharimu kiasi kikubwa cha fedha ili kuijenga upya milango ya mbele na nyuma ya nyumba yetu ili kuweza kunasa bahati nzuri katika nyumba yetu kupitia miungu wazuri wa feng shui.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
if ye do it not, take notice of war from allah and his messenger: but if ye turn back, ye shall have your capital sums: deal not unjustly, and ye shall not be dealt with unjustly.
basi mkitofanya jitangazieni vita na mwenyezi mungu na mtume wake. na mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: