Vous avez cherché: perfection (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

perfection

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

on high hath he raised its canopy, and he hath given it order and perfection.

Swahili

akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

and when he was full grown, and reached the perfection of his strength, we gave him judgment and knowledge.

Swahili

na musa alipo fika utu-uzima baraabara, tulimpa akili na ilimu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

for we are glad, when we are weak, and ye are strong: and this also we wish, even your perfection.

Swahili

tunafurahi kwamba sisi tu dhaifu, lakini ninyi mna nguvu; kwa hiyo tunaomba mpate kuwa wakamilifu.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

such is the work of god, who has ordered all things to perfection: he is fully aware of what you do.

Swahili

hakika yeye anazo khabari za yote myatendayo.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

and when he was fully grown and in the perfection of his strength, we gave him judgment and knowledge; even so do we recompense the good-doers.

Swahili

na musa alipo fika utu-uzima baraabara, tulimpa akili na ilimu. na hivi ndivyo tunavyo walipa walio wema.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

he regulates all affairs from high to low, then they rise to perfection step by step in a (heavenly) day whose measure is a thousand years of your reckoning.

Swahili

anapitisha mambo yote yalio baina mbingu na ardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku ambayo kipimo chake ni miaka elfu kwa mnavyo hisabu nyinyi.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

and that which fell among thorns are they, which, when they have heard, go forth, and are choked with cares and riches and pleasures of this life, and bring no fruit to perfection.

Swahili

zile zilizoanguka kwenye miti ya miiba ni watu wale wanaosikia lile neno, lakini muda si muda, wanapokwenda zao, husongwa na wasiwasi, mali na anasa za maisha, na hawazai matunda yakakomaa.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

it is he who hath created for you all things that are on earth; moreover his design comprehended the heavens, for he gave order and perfection to the seven firmaments; and of all things he hath perfect knowledge.

Swahili

yeye ndiye aliye kuumbieni vyote vilivyomo katika ardhi. tena akazielekea mbingu, na akazifanya mbingu saba.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

allah is he, than whom there is no other god;- the sovereign, the holy one, the source of peace (and perfection), the guardian of faith, the preserver of safety, the exalted in might, the irresistible, the supreme: glory to allah! (high is he) above the partners they attribute to him.

Swahili

yeye ndiye mwenyezi mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa yeye tu. mfalme, mtakatifu, mwenye salama, mtoaji wa amani, mwenye kuyaendesha mwenyewe mambo yake, mwenye nguvu, anaye fanya analo litaka, mkubwa, ametakasika mwenyezi mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,749,107,529 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK