Vous avez cherché: productive (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

productive

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

there is good for those who do good in this world, and productive is god's earth.

Swahili

wale wafanyao wema katika dunia hii watapata wema. na ardhi ya mwenyezi mungu ni kunjufu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

liberia’s youth face many challenges in gaining an education that delivers them the right set of skills and knowledge to become productive in today’s labor market.

Swahili

vijana wa liberia wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kupata elimu ambayo itawapatia amana ya ujuzi na ufahamu kuwa wazalishaji katika soko la leo la ajira.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

his energy should be guided to something productive and as much as possible try not to expose him to such situations and if so do it off camera for goodness sake. so far, i think prevention is better than cure!

Swahili

nguvu anazoonekana kuwa nazo lazima zielekezwe kwenye mambo yanayoweza kuleta faida na kwa kadri inavyowezekana jaribuni kutokumweka kwenye mazingira kama hayo na kama inalazimu basi fanyeni hivyo mbali na kamera kumsaidia mpaka sasa, nadhani kinga ni bora kuliko tiba!

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

all the productive palm-trees (of the jews hostile to you) which you cut down or left untouched were the will of god to bring disgrace upon the evil-doers.

Swahili

mtende wowote mlio ukata au mlio uacha unasimama vile vile juu ya mashina yake, basi ni kwa idhini ya mwenyezi mungu, na kwa kuwahizi wapotovu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

they are also working on a new initiative called through the lens, where 15 to 17 year old youth who "graduate" from the magazine continue developing skills to create short films, news pieces and other video productions to further "productive, peace-building dialogue and positive interaction".

Swahili

pia wanafanya kazi kwa ajili ya mradi mpya unaoitwa kwa njia ya lensi, ambao vijana wa umri kati ya miaka 15 mpaka 17 “waliofuzu” kutoka kwenye gazeti wanaendeleza ufundi ili kutengeneza filamu fupi fupi, habari na video nyingine nyingine ili kuendeleza “mazungumzo ya kujenga amani na maingiliano chanya yenye ufanisi.”

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,783,481,388 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK