Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
(4) collecting convalescent serum samples.
(4) ukusanyaji wa sampuli za serami za watu wanaopona.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
samples (swabs or serum) collected will be sent via prepaid envelopes addressed to the appropriate phe laboratory for analysis.
sampuli (swabu au serami) zilizokusanywa zitatumwa kupitia bahasha zinazolipiwa awali zinazotumwa katika mahabara yafaayo ya phe ili kufanyiwa uchanganuzi.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
combined with a serum ferritin blood test to identify cytokine storms, it is meant to counter such developments, which are thought to be the cause of death in some affected people.
ikichanganywa na kipimo cha damu cha seramu ya feritini ili kutambua ongezeko kupita kiasi la sitokini, imekusudiwa kukabiliana na matokeo kama hayo, ambayo yanachukuliwa kuwa sababu ya vifo kati ya watu walioambukizwa.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
a small study involving 6 confirmed covid-19 mothers showed no indication of sars-cov-19 in their newborns' throats or serum but antibodies were present in neonatal blood sera samples, including igm in two of the infants.
utafiti mdogo unaohusisha mama 6 waliodhibitishwa kuwa na covid-19 hawakuonyesha ishara yoyote ya sars-cov-19 katika koo au damu ya watoto wao wachanga lakini kingamwili ilikuwepo katika sampuli za damu ya watato wachanga hao, ikiwemo igm katika watoto wawili wachanga kati yao.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :