Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
accountants botswana has only 5 shops and you call your self an accountant when diamond mines want a consultant they will call a south african and not a zambian, what are you still doing here?
wahasibu botswana ina maduka matano pekee na eti mnajiita wahasibu wakati migodi ya dhahabu inapohitaji ushauri wa kitaalamu inawaita wa-afrika kusini na sio nyie wa-zambia, bado mnafanya nini hapa?
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
"all political parties have endorsed biometric registration, which is prelude to e-voting and what we are doing here today will help to shape our electoral process in the future, but we do not have the requisite infrastructure for a speedy implementation of the all important projects in the short term”.
“vyama vyote vya siasa vimesisitiza uandikishaji kwa njia za vipimo vya kibaiolojia, ambao ni mwanzo wa upigaji kura wa mtandoni na tunachofanya hapa leo kitatusaidia kurekebisha mchakato wa uchaguzi katika siku zijazo, lakini hatuna miundo mbinu inayohitajika kwa utekelezaji wa kasi wa miradi yote muhimu katika kipindi kifupi”.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.