Vous avez cherché: tactics (Anglais - Swahili)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

English

Swahili

Infos

English

tactics

Swahili

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

nevertheless, there are widespread reports of dirty tactics.

Swahili

hata hivyo, kulikuwa na taarifa ya kuenea ya mbinu chafu.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

simba seemed unsure of themselves, with no clear idea of what their tactics should be.

Swahili

simba kama vile hawakuwa na uhakika na wanachokifanya, bila kujua wazi mbinu wanazotakiwa kutumia.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

he repeatedly showed a willingness to compromise tactics to realize his dream of equality in south africa.

Swahili

mara nyingi alionesha utayari wake wa kutumia mbinu mbadala za kuhakikisha ndoto yake ya usawa nchini afrika kusini inafikiwa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

obstruction from attending holy mass has been one of the tactics employed by state security to contain the activity of the group.

Swahili

kitendo cha kuwazuia kuhudhuria ibada takatifu kilikuwa mojawapo ya mbinu zinazotumiwa na idara ya usalama wa nchi hiyo kuzibana harakati za kikundi hicho.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

as it turns out, some of these dirty tactics were used against united russia members by other united russia members.

Swahili

kama ilivyokuja kuwa, baadhi ya mbinu hizo chafu zilitumika dhidi ya wagombea wengine wa chama cha united russia kwa kutumia wanachama wa chama hichohicho cha united russia.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

in the past, chinese local governments have adopted delay-tactics like this to pacify people's anger.

Swahili

kwa uzoefu, serikali za mitaa za china zimerithi mbinu ya kuchelewesha mambo kama namna ya kutuliza hasira za wananchi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

fearmongers use scare tactics to influence public opinion to impede change and progress by disseminating false information about the draft constitution and the planned constituent assembly meeting.

Swahili

waoga wanatumia mbinu za vitisho ili kushawishi maoni ya wengi yawe ni ya kuzuia mabadiliko na mchakato huu kwa kusambaza taarifa ambazo si sahihi kuhusu uundwaji wa katiba na kikao cha bunge la katiba kilivyopangwa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

nobody is sure if the airstrikes are targeting homes, buildings, mosques or previously bombed sites, therefore nobody knows if any change in tactics has occurred.

Swahili

hakuna anyejua kama mashumbulizi hayo ya anga yazilenga nyumba za watu, majengo, miskiti au sehemu ambazo zilishashambuliwa awali, kwa hiyo hakuna nayejua kama mbinu zimebadilika au la.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

we shall not be hoodwinked by focusing on petty issues.any way this is typical kaponya tactics they grab byour aattention as you look away ,bang they have searched your pocket.watch out my countrymen eyes on the ball or is it our pockets.

Swahili

mara moja wameshakupekua na mifuko ya suruali. tuwe makini sana wananchi wenzangu macho yetu yawe kwenye mpira ama sivyo mifuko yetu itapekuliwa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

@jasdonwar: what do you have to say against allegations that south africa's media will be curtailed by the government after the election? @anc_debate: that's a scare tactic.

Swahili

@jasdonwar: je unalo lolote la kusema dhidi ya madai kwamba vyombo vya habari vya afrika ya kusini vitapunguzwa baada ya uchaguzi? @anc_debate: hiyo ni mbinu ya kujazana hofu.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,772,913,193 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK