Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
to most kenyans (like the guys who never miss an opportunity to spew tribal hatred in this blog) it would be mighty difficult to understand tanzanian politics.
kwa wakenya wengi (kama ilivyo kwa baadhi ya watu ambao huwa hawachoki kuchochea chuki za kikabila katika blogu hii) itakuwa vigumu sana kuelewa siasa za tanzania.
bingu’s party, the dpp, won the presidential election with roughly 2,730,630 votes while the mcp/udf alliance scooped circa 1,270,057, almost 200,000 votes below half of bingu’s votes the strong message arising from these figures is that bingu was voted into power by the entire nation, raising postulates about whether good leadership styles could obliterate the tribal cancer that many of us thought was out to consume our political and everyday lives.
chama cha bingu, ddp, kimeshinda uchaguzi wa rais kwa kura takriban 2,730,630 wakati mseto wa mcp/udf uliambulia kura 1,270,057, kura takriban 200, 000 pungufu ya zile za bingu . ujumbe mkuu unaotolewa na takwimu hizi ni kuwa bingu alichaguliwa na taifa zima, na unazua wazo kuwa pengine uongozi bora unaweza kutokomeza sarakani ya ukabila ambayo wengi wetu tulidhani ilikuwa bado inazengea kutafuna siasa na maisha yetu.